Inakuuma sana mzee agenda zenu zinavogonga mwamba pole sanaWe ni boya
Tume imeundwa ikipitisha kuwa chanjo inafaa tutachanjwa boss. Si lazima kubishana na utawala kwenye kila jambo.
Kuna matatizo ya tetesi zisizoeleweka tuweke chanjo pembeni kwanza boss.Nadhani hukuelewa kw uzuri point yangu!! Ninasisitiza tena, chanjo haiko katika hatua ya majaribio. Hii ni sayansi, kama hatukuwa na timu ya kufanya utafiti wa kirusi chenyewe, ni sahihi kusema hatutaweza kujua chanjo yake wala dawa yake. Usitarajie waliofanya utafiti watatoa taarifa za utafiki wao ili sisi tuanzie kwenye chanjo kwenda mbele!! R&D is the most expensive intellectual property!!
Wataalamu wetu watatoa ushauri kwa kupita majarida kama ya Lancet au peer reviews za bodies zilizopata access na data za matokeo ya chanjo (sio chanjo yenyewe).
Kuna matatizo ya tetesi zisizoeleweka tuweke chanjo pembeni kwanza boss.
Kuna mambo mengi yanaenda kubadilika sasa.Ni sawa. Wasiwasi nayo ni sababu, mkuu. Ninasema tu kuwa uamuzi wa kukubali au kukataa chanjo hautatokana na tafiti zetu. Inaweza kuwa ni kufuata mkumbo, shinikizo nk. Hata tukikataa hatutakuwa peke yetu, huko chanjo hizi zilipogunduliwa mtu mmoja mmoja anaweza kukataa kudungwa na ikawa sawa. Je na sisi tunaweza kutumia utashi kuchanjwa au kutochanjwa??? Ni changamoto.
Washalegea?