Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Muacheni mzee ale upepo wa milima Livingston kule lufilyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.......!We jamaa unamajibu kama vile ulizaliwa stand🤣🤣
Nimesema ili sauti ikome kuniijia haijalishi atafanya hivyo au laaa!Mwandosya nilienda kumuona nyumbani kwake Kyela, afya imedorora na amechoka sana. Atachosha taifa, aachwe apumzike. Majikumu yale yanataka mtu makini na timamu kimwili.
Mwandosya hata ngazi za ndege Boeing 373 hawezi kumaliza
SawaMkuu sina matatizo yoyote ya kiafya elewa tu Nimesema ili sauti ikome kuniijia haijalishi atafanya hivyo au laaa!
Zingine kakutwa nazo kocha wa Simba.hivi TANZANIA imehalilisha ganja nini?
Naam, Kama Taifa tukiwa waijiwa na Sauti / Wasikiliza Sauti ndio definition hio ya Taifa la Wapiga Ramri...Nimesema ili sauti ikome kuniijia haijalishi atafanya hivyo au laaa!
Usimsingizie mzee wa watu kwanza hata hanijui, me pia simjui kabisa tofauti na kumuona kwenye picha au TV, lakini elewa ni nini kimenisukuma kuandika hapa ."Nimesema ili sauti ikome kuniijia haijalishi atafanya hivyo au laaa!"Hivi bado yupo?
Hii kitu haitokaa ije kutokea NEVER
Kama ni mwandosya mwenyewe UMEANDIKA unajidanganya na tamaa zako.
URais utaendelea kuusikia redioni.