kabisaaaaaaa baba lessse ndiye alikuwa akiimbisha kibisa!! Ulikuwa unakuja sunday school michezo ya kinisani na mongella na juanita puja, tadei semboja, peter kyulule etc??? Was sooooooo funny! Mwl mndolwa na mlimani primary je?? Ujue lintu alikufaga, mtoto wa mwl mwampembwa!hakika basi nitakua nakufahamu,,unakumbuka enzi za new year party udasa pale watu na cupons zao za vinywaji na misosi full kubembea stress free kipindi hicho
Dah nilisikia R.I.P Lintu,,,Yeah mwalimu mndolwa wa mlimani primary namkumbuka bila kumsahau mwalimu Naimani mama yao kina Michael na Nipaeli,Mwalimu Mwaipopo kitambo sana dah!!! Basi wewe Kampani yako ilikua kina Diana Mongula,Christofa si ndio?kabisaaaaaaa baba lessse ndiye alikuwa akiimbisha kibisa!! Ulikuwa unakuja sunday school michezo ya kinisani na mongella na juanita puja, tadei semboja, peter kyulule etc??? Was sooooooo funny! Mwl mndolwa na mlimani primary je?? Ujue lintu alikufaga, mtoto wa mwl mwampembwa!
hapana, diana ni mdogo sana kwangu, mimi nilikuwa na dada yake beatrice mongula darasa moja na wakina emmanuel semboja wenye x-car rent sasa hivi!! tena diana mongula kaolewa na charles semboja ujue, wanakaa netherlands kwa sasa!! nilikuwa na kina david puja na allen kaijage etcDah nilisikia R.I.P Lintu,,,Yeah mwalimu mndolwa wa mlimani primary namkumbuka bila kumsahau mwalimu Naimani mama yao kina Michael na Nipaeli,Mwalimu Mwaipopo kitambo sana dah!!! Basi wewe Kampani yako ilikua kina Diana Mongula,Christofa si ndio?
majuto kaoa mwaka jana mwishoni, naomi magehema yuko wapi, nimemmiss, dada yake alikuwa cuteeee anita magehema! Linda mlunde aliolewa, mdogo wake jackq mlunde! Mmenikumbushaje mbali! Mabwawa saba, ndio kulikuwa kwa kucheza michezo ya kibaba na kimama! Kwi kwi kwi!@rular swagga na cacico mispendi mjue!
Mambo gani hayo ya kukumbushana bembea za udasa na mbio za mabwawa saba!
Plus mama mndolwa na mwal semboja,kina diana,linda mlunde,majuto na walter sijui kina naomi magehema!
Uuuiwi i miss those times!i miss it!
majuto kaoa mwaka jana mwishoni, naomi magehema yuko wapi, nimemmiss, dada yake alikuwa cuteeee anita magehema! Linda mlunde aliolewa, mdogo wake jackq mlunde! Mmenikumbushaje mbali! Mabwawa saba, ndio kulikuwa kwa kucheza michezo ya kibaba na kimama! Kwi kwi kwi!
Wanafunzi wa ME watapumua kidogo kukamatwa! RIP Prof!
Eeeeh kama umesoma na dada Bety class moja naomba nikupe shikamooo!! Hivi yuko wapi cku hizi jamani Diana yupo holland muda kweli yani cjui hata kama nikikutana nae nitamjua.Unawakumbuka wale watoto wa mzee Maboko? Mulish,Imma pamoja na Shani?hapana, diana ni mdogo sana kwangu, mimi nilikuwa na dada yake beatrice mongula darasa moja na wakina emmanuel semboja wenye x-car rent sasa hivi!! tena diana mongula kaolewa na charles semboja ujue, wanakaa netherlands kwa sasa!! nilikuwa na kina david puja na allen kaijage etc
Na yale meno yake tulikua tunamwita Vinjino,,,alikua ana kipaji cha kuchora akikuchora unatokea kama kitu cha photoshop.ahahahhahahha ila msafiri alikuwa na fujo jamani!kale kamwili sasa!mwe!umenifanya nicheke kwenye thread ya msiba!mwe!mtoto alikuwa mtata yule!sijapata kuona!
lol!Huwa nakutana naye mara chache tunapeana hi juu kwa juu,,,We mtu ukija kujua mimi ni nani utafurahi sana ...hahahhahahahahahahaha:yo:
Du! mkuu wewe kidogo saizi yangu, mimi nilichonga naye speaker box pale woodwork workshop, nikiwa 4th yer.RIP prof.
Mimi alikua dean wangu enzi za FOE.
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema PROFESA MASUHA aliekuwa kitengo cha MECHANICAL COET amefariki dunia asubuhi ya leo.
source: MTOTO WAKE
hapana, diana ni mdogo sana kwangu, mimi nilikuwa na dada yake beatrice mongula darasa moja na wakina emmanuel semboja wenye x-car rent sasa hivi!! tena diana mongula kaolewa na charles semboja ujue, wanakaa netherlands kwa sasa!! nilikuwa na kina david puja na allen kaijage etc
kabisaaaaaaa baba lessse ndiye alikuwa akiimbisha kibisa!! Ulikuwa unakuja sunday school michezo ya kinisani na mongella na juanita puja, tadei semboja, peter kyulule etc??? Was sooooooo funny! Mwl mndolwa na mlimani primary je?? Ujue lintu alikufaga, mtoto wa mwl mwampembwa!
tena sio zamani nasikia! dadangu mkubwa ndio alisoma naye mlimani primry, nilikutana naye majuzi ndio kuniambia hizo habari,Jamani nimeshtuka eti Lintu alifariki? Ilikuaje jamani?
Kijana COET yenyewe nimeiona kwenye shule ya juu! wengine humu baba zenu.Dah basi mkuu wewe ni wa zamani sana,,Maana huyu Mzee alikua Dean kipindi hicho Foe Mwaka 1985 1991 kama sikosei then akawa Dean tena 1997 2000.Mimi nimeondoka palen CoET Principal wetu alikua Prof Katima sijui bado yupo naye??
R.I.P Prof. John R. Masuha
tena sio zamani nasikia! dadangu mkubwa ndio alisoma naye mlimani primry, nilikutana naye majuzi ndio kuniambia hizo habari,