Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Kuna mambo ambayo yanaenda kwenye extremes, tusitake kutetea vitu visivyoteteeka, mambo kama haya yanayolalmikiwa hapa.Unajua kila mtu anapeleka mtoto Private ili apate matokeo mazuri katika mitihani. Walimu wakitumia mbinu za kiwafanya vihiyo wawe vipanga, tunaanza kulalamika. Si umtoe umpeleke shule ya serikali? Hatujui tunataka nini! No sweet without sweat bwashee
Tuseme kwa mfano, mtoto wa kindergatten kuonekana kituoni saa 11 asubuhi akiwa anasubiria gari la shule kumchukua aende shule, ni sahihi? Matokea mazuri kila mmoja anayahitaji ndiyo lakini swala la usalama na afya za wototo ni la muhimu kuzidi hayo matokeo mazuri yanayoweza kupatikana kwa njia hii