HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hapo Mzembe ni Mzazi kumpeleka mtoto mbali na shuleKuna mambo ambayo yanaenda kwenye extremes, tusitake kutetea vitu visivyoteteeka, mambo kama haya yanayolalmikiwa hapa.
Tuseme kwa mfano, mtoto wa kindergatten kuonekana kituoni saa 11 asubuhi akiwa anasubiria gari la shule kumchukua aende shule, ni sahihi? Matokea mazuri kila mmoja anayahitaji ndiyo lakini swala la usalama na afya za wototo ni la muhimu kuzidi hayo matokeo mazuri yanayoweza kupatikana kwa njia hii
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app