Profesa Mkenda, tunaomba utupatie ufafanuzi

Hapo Mzembe ni Mzazi kumpeleka mtoto mbali na shule

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Unaweza kataa maana si shule zote

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
ni lazima uwe mwalimu ili utambue kuwa internal schools (IST,Morogoro, Moshi) hazifundishi kwa kufuata mtaala wa tanzania?
So arithmetic, science za ist za kids wa class 5, ni tofauti na za necta darasa la 5 ni tofauti??,, [emoji1787]

Nyinyi ndo wale ambao mnadhani the difference of two education ziko kwenye content na sio pedagogy and philosophy [emoji23][emoji23] mpuuzi kweli ww,,

by the way nimehudhuria class nyingi mno kama substitute teacher MIS,,
 
International wanasoma hadi sets wakiwa primary

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli nna wadogo zangu mmoja yuko form one sasa hv tanzania, mwingine la 3 wote before walisoma Uganda,, kinachowasumbua ni kiswahili ila huko kwengine wanakimbiza vizuri tu
Nilimaanisha hawa wa necta wengi ukiwahamisha mitaala wanapotea, ukitaka amini badilisha jinsi ha kutunga swali afu mpe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Siyo swala bali suala
 
Unajua kila mtu anapeleka mtoto Private ili apate matokeo mazuri katika mitihani. Walimu wakitumia mbinu za kiwafanya vihiyo wawe vipanga, tunaanza kulalamika. Si umtoe umpeleke shule ya serikali? Hatujui tunataka nini! No sweet without sweat bwashee
Hiyo mbinu ya kusoma masaa yote umeona wapi wewe?
Basi ili na huku kwenye ajira tuanze kazi saa kumi na mbili asubuhi mpaka kumi na mbili jioni kama njia ya kupata ufanisi
 
Kila kukicha wazazi wanaitwa mashuleni na kuambiwa kuwa wanatakiwa kuchangia. Lakini nilichokuja kukigundua ni kuwa wakati wa marehem Magufuli pesa hizo zilitosha kufanya mambo yote ambayo leo wanachangisha wazazi kwa nini? Kulikuwa na michango kwa kiasi kidogo mno tena inawezekana mara moja kwa mwezi au inaweza kupita hata miezi miwili. Kwa nini leo wadai pesa hazitoshi na wazazi wanatakiwa wachangie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…