Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati

Gas ni yetu na tuna uwezo wa kuchimba na kuzalisha wenyewe na tumeshafanya majaribio tukaweza na muda si mrefu sisi tutamiliki visima vyetu vya gesi bila wageni kuingilia kati...just watch and see
Hahahah just watch and see sio...mmesahu profesa huyu huyu alisema watanzania hawawezi kuendesha biashara ya Gas, uwezo wao ni kutengeneza viwanda vya juice? Huo uwezo huo mmeupata wapi?
 
Hahahah just watch and see sio...mmesahu profesa huyu huyu alisema watanzania hawawezi kuendesha biashara ya Gas, uwezo wao ni kutengeneza viwanda vya juice? Huo uwezo huo mmeupata wapi?
Quote me, Mkuu hamna mtanzania atafanya hii biashara ya oil and gas Solely maana it is very very risk, kuna kampuni ilichimba Tz kisima cha urefu 5km kwenda chini afu gas hata mafuta hawayakuyaona iliwagharimu zaidi ya USD Million 500
 
Ndugu kuamini mtu kisa profesa tu tulishatoka huko. Usiache kupitia uchambuzi wa wataalam wengine. Jielimishe na jihabarishe. Lipumba ni profesa ujue. Kabudi ni profesa ujue. Lakin je?????? Kwa sasa kuna maprof sera za kutowakinga na njaa zimewapokonya uwezo wao wa kufikiri na kutenda! Uzalendo nao walishauuza, natamani siasa iwe kazi ya maslahi kidogo kuliko u barmaid ndio tutafaidi hivi vyeti.
 
Madini, jiolojia sipati ulinganifu wake na uzalishaji wa umeme.

Labda ndiyo maana kakomaa na gesi maana huko ndiyo utaalamu wake upo.

Huku kwenye power generation Yuko zero
 
Madhara ya kufikiri kwa kutumia akili ndogo.

Watanzania gani unawaongelea? Maana enzi za JK watanzania waliambiwa umeme wa Gas na ikaonekana walikubali. Kaja Magufuli kaona hana 10% kwenye huo Mradi wa gas, kuanzisha wa maji ili naye apate sehemu ya kupiga. Ingekuwa miradi yake yote inakubalika na hao Watanzania, kipi kilimfanya anajisi uchaguzi mkuu na wa Serikali za mitaa?
 
Kama hiyo ya maji ni renewable, kipi kilifanya miradi ya mwanzo ya umeme wa maji kuendeshwa kwa ufanisi duni?
 
Ana CV lakini hana hekima!
Amebarikiwa CV amenyimwa hekima!
 
Hawa wasomi wanatia kichefuchefu hata kuwasikikiza, mlikuwa wapi nyinyi wa majalalani mb***a kabisa. Nyinyi CCM mkoje lakini mnajua maana ya mikataba kwanini? Mliingia mikataba kwa makofi na vigelegele mlipaswa kumfuata mwenzenu. Yule mgonjwa supika naye anazishangaa ndege sides mnatia hasira
 
Hujui hata LNG ya Lindi ina gharama gani halafu unaropoka ropoka tu, 30bn USD ni zaidi ya bajeti nzima ya Tz ya miaka miwili, SSH ataenda ku sign tu mikataba ya ajabu huko, wazungu watakuja watachukua kila kitu watz wataachia kufaidika ni vi ajira na PAYE, hizi ni ki akili za kimaskini na kinyumbxxx kabisa.
 
Huyu atakuwa porofesa sio profesa.

Ni arrogant anajua watanzania wa miaka 70s, sasa porofesa anataka tutumie gesi gani wakati JK aliwapa wachina na songas?
 
Wanamtumia kwa independent consultancies zipi? Toa ushahidi wa hizo consultancies. Usinogeshe story.
Ninachofahamu INTEGRITY ya mtu ni moja ya kigezo kikubwa sana wanachotumia reputable organizations both local and international!
 
Humu kila mtu anafikiria kwa kutumia mhemko na wala si akili, huyo Muhongo anafikiria kutumia tumbo na si kichwa. Umeme wa maji ndo umeme nafuu just turbines zizunguke tu, gas mpaka kuuziwa what if demand ikiwa kubwa gas ikapanda, mto Rufiji ni mkusanyiko wa mito mingi kukauka labda. Ukame nchi nzima
 
SSH ni dhaifu ndio maana kila mtu anajaribu kushawishi ujinga wake. Amefungalia mlango akitaka kuonyesha ana akili kumbe ameonyesha udhaifu wake.
Ila kufurahia maisha ya kuitwa watu wanyonge nalo halina tija. Watu wafanye kazi halali, kuwe na mzunguko wa pesa ili kukuza uchumi. Sera zile HAPANA.
 
Mama hana vitisho, uhuru wa kutoa maoni kama nchi zilizostaraabika huko. Unaacha watu waongee, kwani ni haki yao na uhuru wao. Yenye tija unachukua, yale ya porojo unatupilia mbali, huo ndiyo UONGOZI na siyo UTWALA. Mama ni kiongozi hashupaz shingo na kufura bila MAAARIFA NA AKILI-Maarifa.
 
Habari za uchaguzi wa mkuu na Sm zinaingia vipi?

Kwani alipokuja JPM alizuia kuzalisha umeme kwa gas? Au ulitaka awe anajenga Kinyerezi 3,4,4 mpaka ishirini ndio uridhike?

Sio kila kitu kupinga ndio ujione mpingaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…