Profesa Muhongo huna credibility ya kuwashauri watanzania kuachana na mradi wa JNHPP na usidanganye watu kuwa Hydro power zimepitwa na wakati


Kweli nimeamini kuna watu wanatumika na mabeberu huyu Profesa uchwara anawezeja kutoa kauli hiyo
 
Hata Ethiopia Au Congo DRC wana Project hizo hizo za Umeme wa Maji yaani Hawa watu wetu ni wanafiki sana na Mbaya sana zaidi ni kwasasa wote wanajifanya wanashauri na Kumponda Magufuli
 
Mwendazake urais na nchi ulimshinda kabisa. At least he's gone forever and never come back. Sasa tumebaki kutafuta hela kwa utash.
Mtapambana sana na mfu mwendazake, ila unajionea comments humu watu wakisifia mwendazake thoughts on hydro power
 
Majizi ya ESCROW yameanza kuibuka na kupanua midomo baada ya Magufuli kutangulia mbele za haki
 
Wasomi wetu wanajisahau kwamba zama za kale ambapo walikuwa wanatuongopea mambo ya ulaya zimebadilika,kwa msaada wa google unaweza kusearch chochote ulimwenguni hata kama hujawahifika.
Kiukweli wafia tumbo wanatia aibu sana.wanatakiwa wajifunze kukubali kwamba ulichopata umekipata na utakachokikosa shukuru Mungu sio unaweka vinyongo,mwisho unavuna aibu.
 
haka kamfumo cha upigaji kanataka kirudi kwa kasi
 
Tatizo lenu huwa mnamshambulia mtu bila kuangalia mkitadha.

Kwa kile alichochangia bungeni hakuna mahali alisema kuhusu mradi wa JNHP. Alichosema kwa ujumla ni kwamba kutokana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi,miradi ya hydropower haiaminiki na investment yake ni kubwa ukilinganisha na gesi.

Katika mchango wake,alizungumzia zaidi umuhimu wa kujenga uchumi wetu kwa kasi zaidi kwa kuangalia fursa za 4th industrial revolution kama mahitaji makubwa ya rare metals kama nickel ili uchumi wetu ukue kwa 8% na kuendelea.

Kwa ujumla,mchango wake ulikuwa mzuri mno ukiacha upotoshaji unaofanywa kwenye mitandao na watu wenye chuki zao binafsi!
 
..nadhani wanaomshambulia Prof.Muhongo hawajaelewa hoja yake, au wanafanya makusudi kuipotosha.

..Prof.Muhongo amesema turudi kwenye mapendekezo ya kuwa na vyanzo vingi vya umeme au " energy mix. "

..hajasema tuachane na umeme wa maji, bali amesema umeme wa maji usaidiwe na vyanzo vingine kama umeme wa gesi, umeme wa joto ardhi, etc etc
 
Energy mix ndio nini? Yaani umeme unaozalishwa na maji matumizi yake ni tofauti na umeme wa gas? Kwa hiyo inabidi tuwe na ladha tofauti, au sisi tunahitaji chanzo kimoja kitachozalisha umeme mwingi kwa bei rahisi? Acha kutetea upuuzi.
 
Miradi ya Hep haiaminiki, mbona toka yeye ameondoka kuwa waziri hakuna mgao? Kwenda zako huko.
 
Energy mix ndio nini? Yaani umeme unaozalishwa na maji matumizi yake ni tofauti na umeme wa gas? Kwa hiyo inabidi tuwe na ladha tofauti, au sisi tunahitaji chanzo kimoja kitachozalisha umeme mwingi kwa bei rahisi? Acha kutetea upuuzi.

..Energy mix kulingana na Prof.Muhongo ni kutumia vyanzo[gesi, maji, makaa ya mawe,...] mbalimbali kuzalisha umeme.

..nashauri usikilize mchango wa Prof.Muhongo akiwa bungeni.

 
..Energy mix kulingana na Prof.Muhongo ni kuwa vyanzo mbalimbali vya kuzalisha umeme.

..nashauri usikilize mchango wa Prof.Muhongo akiwa bungeni.

Sawa, kuwa na vyanzo mbalimbali lakini output ni umeme, sasa kwa nini tusistick kwanza kumaliza bwawa la Nyerere na kupata Mw 2100 kuliko kuhangaikia hivyo vyanzo vingine? Huyu prof ni kuwadi wa mafisadi.
 
Mijambazi isharudi on peak tusikilizie vichomi vya sindano tu.
 
Sawa, kuwa na vyanzo mbalimbali lakini output ni umeme, sasa kwa nini tusistick kwanza kumaliza bwawa la Nyerere na kupata Mw 2100 kuliko kuhangaikia hivyo vyanzo vingine? Huyu prof ni kuwadi wa mafisadi.

..sidhani kama kuna chochote kitakachoharibika ikiwa tutakuwa na vyanzo vingi vya kuzalisha umeme.

..in fact overdependence kwa chanzo kimoja cha kuzalisha umeme ni risk kwa nchi yetu.
 
..sidhani kama kuna chochote kitakachoharibika ikiwa tutakuwa na vyanzo vingi vya kuzalisha umeme.

..in fact over dependence kwa chanzo kimoja cha kuzalisha umeme ni risk kwa nchi yetu.
Mpaka sasa gas plant inaingiza grid ya taifa MW ngapi? Na HEP inaingiza MW ngapi? Over dependence?
 
Compare and contrast...Msiwe mnafanya mambo kwa hisia muwe na facts...hydro electricity potential Tanzania ni kubwa na very sustainable kuliko hizo dirty energy za fossils zilizopitwa na wakati...Infact the opposite of what is said is true...Soma hapa
 
Gas alishauziwa mchina tuna chini ya asilimia 40 kwenye gas yetu anachotaka huyu mpuuzi ni tuingie mikataba na wachina watuuzie gas YETU naona ashaitwa pembeni na macho kengeza ...GAS TULISHALIWA KICHWA KITAAAMBO
Tuliliwa wakati wa jk!
 
Kama ni kweli anawaza tofauti kuanzia leo nitamuita Profesa Muongo..
 
Kamwambie akasome tena kuhusu Sustainable Energy..
 
Reactions: Ame
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…