Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

Profesa Muhongo: Uchumi wa sasa duniani ni umeme wa gesi, umeme wa maji umepitwa na wakati

Kabla ya kumshambulia prof Muhongo embu tumsikilize point yake mbona kama anayo point fulani hivi ya kusema!!!
Kwakifupi ule mradi wa stiglers gorge tulikurupuka tumewekeza pesa karibia trillion 10 kwa mradi ambao ni unsustainable..... Heche aliwahi kushauri wakati fulani tukamuona kama mchochezi.
Unsustainable kwa kigezo kipi
Maana yeye kasema umepitwa na wakati (out of fashion) wakati Australia na China wanaendelea na coal
 
Wazo lake ni Zuri sana,kutegemea umeme wa maji ni kujihatarisha hasa myakati za ukame mkubwa,tumesahau kuna kipindi tulitamani mvua za mabomu?
Mvua toka Thailand ((kukusanya mawingu) ulikuwa mpango wa upigaji wa yule mamvi lakiini kelele za watanzania kuupinga mradi huo zilisaidia sana kuzuia usifanyike.
 
Mvua toka Thailand ((kukusanya mawingu) ulikuwa mpango wa upigaji wa yule mamvi lakiini kelele za watanzania kuupinga mradi huo zilisaidia sana kuzuia usifanyike.
Hao wachawi wangekutana na wa huku sijui ingekuwaje wa tz najua huwa wanazuia mvua isinyeshe
 
Sijui ukisema prof ni ignorant itaingia vichwani mwa watu?!!! Hasa waomi!! Mungu aturehem.
 
Huyu mwamba alitukanwa sana hapa ila alichokisema ndio ukweli
 
Wakati wa Magufuli vyama vya siasa vilizuiwa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano tofauti na awamu ya nne.
Mm binafisi siitaki tena ccm baada tu ya magufuli kufariki wameanza kumgeuka wamesahau kabisa kabla ya 2015 walikua wakipita mjini na manguo yao kijani walikua wana zomewa wengine wana diriki kusema rais ali shauriwa vibaya, inaoneka walikua wana jali matumbo yao tu wa tz tuamukeni.
 
Back
Top Bottom