Village fooler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 706
- 1,425
Hv unaijua kweli kazi ya CAG?? Kwahyo kama kuna upigaji ulitaka akae kimya?? Wakati ule prof Asad alipogundua 1.5 trillion haionekani huyo Mungu wenu wa chato akamuundia zengwe akatolewa sababu alibaini wizi wa pesa.umezingatia nini kuandika haya!!!
huyu CAG mwenye pua kama kitenesi,ndio kaandika hiyo tathmini yake.bado una nafasi ya kufikiri kwa kina.si kila msomi ana akili.
tanzania bado inahitaji umeme wa bei nafuu zaidi,ili kuendana na hali ya maisha yetu ya kila siku,mmawaza umeme wa neuclear na gesi mnajua gaharama zake na bei kwa kila moja!!!
life span ya mtera dam ni mwaka wa ngapi sasa na inaelekea kuacha kufua umeme lini??
Tatizo lenu mliishazoea kufungwa midomo kwa watu kwahyo isingekua rahisi kugundua haya yaliyoibuliwa na kichere matokeo yake mmebaki mmepoteana.
Ukisemea gharama ya umeme wa maji ni kweli uko sahihi kua ni wa bei ya chini lakini tumeshuhudia gharama za umeme kuongezeka nchi hii je tulihitaji kuongeza tena hydroelectric power plant?? Tena kwa trillion karibia 10?? Je wajua kua tungewekeza kwenye umeme wa upepo kwa makambako, singida na same pekee tungetumia almost 3trillion lakini tungezalisha almost 24,000MW??? Ambao tungepata umeme wa ziada kuuza nchi zingine na kurudisha pesa zetu kwa haraka kuliko kuwekeza almost 10 trillions kwa kuzalisha 2100MW???
Ngoja nikuambie Kama ulikua hujui kulingana na mabadiliko ya tabia ya nchi uwekezaji kwenye umeme wa maji ni kupoteza hela