Profesa Mussa Juma Assad agombee urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Profesa Mussa Juma Assad agombee urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hata mimi ninafaa kuwa rais wa nchi kwa kuwa ninajua kusoma na kuandika kwa mjibu wa katiba yetu, tatizo nafasi iko moja na anaetakiwa ni mtu mmoja na hatuwezi tukawa rais wote ila tunaweza tukawa rahisi wa kutawaliwa.
Kila mtanzania anafaa kuwa rais wa nchi hii!!! Naona kama huyu aliendika hajiamini
 
Subirini nchi inyooshwe kwanza, huko mbele mtawaleta hao lakini kwa sasa mambo yanawekwa sawa, barabara zinajengwa, maji ya uhakika, umeme vijijini, elimu ya bure, treni ya umeme, madini kuanza kufaidi Watanzania, ufisadi umepungua karibu kufutika, nidhamu kwenye ofisi za serikali..
Hao waje kugombea baada ya miaka kumi ya Magufuli, watakuta nchi imekaa sawa.
 
Ameshashindwa hata kabla hajagombea ,ameshindwa kuficha siri za ofisi ndogo ya CAG akipewa ikulu si nchi itabaki uchi


State agent
Kwa hiyo ile ishu ya trilion 1.5 ilibidi apige kimya?! Hopeless!!
 
Yeye anapigania sana kuwa na taasisi imara na sio strong personalities. Wajinga wengi wanaangalia personalities rather tan taasisi imara. Wajinga hawa kila siku wanaimba mapambio ya sifa za utukufu. Wamejiweka katika kundi la wasioweza bali mmoja tu hawaambiliki. Bado tu kusujudu
Kila mtanzania mwenye vigezo vya kuwa Rais anafaa kuwa rais Wa
JMT ila katika wote wenye vigezo ni mmoja tu atachaguliwa kuwa Raid. Nadhani nimeeleweka kwa ufafanuzi huo murua
 
Acha apumzike tu,japo ameonyesha kitu na ameacha alama ya kutoyumbishwa kwa kile anachoamini
 
Dhana ya vyeti feki ni nini hasa. Mfano madereva wengi wlinunua leseni na wameendesha salama miaka na mikoko.
Vyeti feki sio sawa na elimu feki. Hivo ni busara kupambana na elimu feki kuliko kupambana na vyeti feki..
Kupambana na vyeti feki ukifikiri unapambana na elimu feki ni tatizo.
Vyeti feki
 
Ameshashindwa hata kabla hajagombea ,ameshindwa kuficha siri za ofisi ndogo ya CAG akipewa ikulu si nchi itabaki uchi


State agent
Huyo mu.meo ameweza kuficha siri za nchi...Mr.Kilaza kutoka Chattle.
 
Muda si mrefu atalamba shavu majuu kama Mwele.

Ukweli una gharama zake,na kilichomgharimu nikuongea ukweli tu.

Hata ubunge hawezi kushinda tena ndani ya CCM atachinjwa kwenye kura za maoni tu.
 
Ukiachilia jina la ASSAD ninavyolipenda kwa utashi wa yule Msirya huyu jamaa bright bwana, mtu makini si mpayukaji.
 
Back
Top Bottom