Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Well said, kama akina Msukuma, Kibajaji nk.CCM inachagua wagombea wenye sifa na sio sifa za kujipendekeza!
Profesa Mussa Assad ni mtu sahihi kuwa Rais wa Jamhuri Ya muungano wa Tanzania, kwa weledi aliouonesha ni kweli Tanzania tuna wasomi na watu makini sana na wasiogopa mtu, Kauli ya Baba wa Taifa ya kwamba tunahitaji vijana jeuri basi huyu ni miongoni mwa zao la baba wa taifa.
Ukimtathimini huyu Profesa Mussa Assad kuwa Rais ama hakika kodi za wananchi zitatumika vizuri sana, katiba nzuri ya kuwajibishana wenyewe yaani wananchi kumuwajibisha kiongozi itapatikana, nafikiri tutafurahia si ndio jamani,
Nimekaa, nikamtafakari huyu mzee na weledi wake, nikaamua kuandika huu uzi.
Kazi nikuanza kumshawishi huyu mzee ili ajiandae kuchukua fomu ya Urais au wapinzani wata "take advantage" ? maana huyu mzee ni CCM pure.
Nawaza tu,