Profesa Mussa Juma Assad agombee urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hiyo heading haijakaa sawa, iko kama vile ameshaonyesha nia wakati bado hajaonyesha.
 
Ameshashindwa hata kabla hajagombea ,ameshindwa kuficha siri za ofisi ndogo ya CAG akipewa ikulu si nchi itabaki uchi

State agent
Ukweli unauma siri ya gani ya kutafuna mamilioni!! Dhaifu dhaifu dhaifu!!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.
 
Soma katiba UIELEWE yawezekana umeandika hii thread bila kutafakari Kama hujui nakwambia uelewe kuwa aliyewahi kuwa CAG hawezi kuwa mtumishi wa serikali tena, ibara 144 imejieleza vyema mkuu
 
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa

CAG aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
Ushahidi WA hayo.
 
Soma katiba UIELEWE yawezekana umeandika hii thread bila kutafakari Kama hujui nakwambia uelewe kuwa aliyewahi kuwa CAG hawezi kuwa mtumishi wa serikali tena, ibara 144 imejieleza vyema mkuu
yaani kweli machungwa ndio malimao,
 
Soma katiba UIELEWE yawezekana umeandika hii thread bila kutafakari Kama hujui nakwambia uelewe kuwa aliyewahi kuwa CAG hawezi kuwa mtumishi wa serikali tena, ibara 144 imejieleza vyema mkuu
usione niliyeandika hivi ni zwazwa, ukajikuta machungwa ndo malimao
 
Acha upuuzi sisi tunakwenda na JPM
 
mwacheni apumzike pension yake inamtosha yeye na wanae, mstake makubwa kama yale ya mawaziri wakuu wote yaliyowakuta
 
Soma hiyo jiwe la waashi Ni jiwe kuu duniani
 
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa

CAG aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
Zwazwa wa kijani katika ubora wake,kila jambo unawaza kisiasa shwain mkubwa. Baba yako angepiga NY.e.t.o afadhali .
 
Ameshashindwa hata kabla hajagombea ,ameshindwa kuficha siri za ofisi ndogo ya CAG akipewa ikulu si nchi itabaki uchi

State agent
Akili za funza hizi!! Kipi ni Siri ambacho kakitoa?? Report ya CAG sio Siri wewe nzi kila mtz anapaswa kujua .
 
Makongoro hana Twitter ,huo uzushi mmeanza sasa, mnatafuta nini,si muandike kwenye real account zenu.
 
Akigombea waisilamu wote kura zetu anazo na wakirsto wore waadilifu. Cc; myinka, hamidu, mtoro, Abu, juma, nk
 
Akigombea waisilamu wote kura zetu anazo na wakirsto wore waadilifu. Cc; myinka, hamidu, mtoro, Abu, juma, nk
Hatuzungumzii dini kwenye masuala ya nchi mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…