Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Arts ni wengi sana na vyuo vimekuwa vingi tofauti na miaka yetu ilikuwa UDSM na Mzumbe tu, saizi vyuo mpaka vichochoroni serikali inajipa mzigo,ingefanya review......japo linafanyika kisiasa sana ndiyo maana linawapa shidaMimi nilishawahi kuongelea kuhusu hili..tena masomo ya Arts ni wengi mno..kusomesha mtu huku ukijua hutaweza kumuajiri ni wizi..hizi hela zinazosomesha hili kundi kubwa ambalo halitasaidia jamii kwa namna yoyote ile ni bora wangewekeza kujenga facilities/vyuo vingine vya ufundi....kwa watu ambao hawajapata Division one ama two wakasomee ufundi maisha yaendelee