Profesa Ndalichako aagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi

Arts ni wengi sana na vyuo vimekuwa vingi tofauti na miaka yetu ilikuwa UDSM na Mzumbe tu, saizi vyuo mpaka vichochoroni serikali inajipa mzigo,ingefanya review......japo linafanyika kisiasa sana ndiyo maana linawapa shida
 
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi ya chuo hicho DARUSO ambao wametoa tamko kwa serikali kwa kuipa masaa 72 iwe imetoa mikopo kwa wanafunzi waliokosa mikopo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huelewi.So waahirishe mwaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yap Nishausoma uzi wako madam
Tatizo wanaowekwa Wizara ya Elimu wengi ni ndio mzee tu hawana mipango mkakati for sure pesa nyingi sana zinapotea kwa kufanya unnecessary pale wizarani hasa kwenye pesa ya mikopo mimi mpaka sasa nadaiwa milioni 12 na HESLB sijui wenzangu ambazo nataman kama wangenipa mkononi now ningekuwa mbali sana
For sure watafute solution.
 
Huu sasa ni ubabe.
 
Mama Ndalichako na HESLB ebu fanyeni mumalize matatizo na hawa vijana wa chuo wapeni haki yao na sio kuleta porojo nyingi. Wapo serious kuliko mnavyodhani. Maana nishakutana na wanafunzi kadhaa wenye malalamiko juu ya pesa zao za mikopo. Siku ikifika hamtoamini




Sent using Jamii Forums mobile app


======
 
Mkuu umeandika hasira sana hii ni sawa kumwambia mwanao aende shule bila Viatu kwa sababu enzi izo wengi wetu tulikua tunaenda shule peku maisha yanabadilika laptop, smartphone huwezi kuvitenganisha na mwanafunzi wa elimu ya juu mkuu bado ni sehemu ya mahitaji muhimu sasa huenda usinielewe ila ukweli ndiyo huo.

Maana zamani ilikuwa ni rahisi mkuta mwanafunzi amerundika mavitabu kibao leo mwanafunzi anaweza tembea na vitabu hata elfu pitia laptop take .End out katika mfumo wa soft copy mwalimu anatuma kwenye group la wanafunzi Whatsapp wanapata kwa mara moja lakini bado mwanafunzi anaweza share kila aina ya notes vitabu na mwenzake popote alipo Tanzania na hapo ndo umuhimu wa smartphone unapokuja
 
Hawa wazee wanaropoka ropoka tu..poor them
 
Mkuu achana naye huyo hajafika hata chuo cha kata
 
Ninyi hamkutumia kwakua havikuwepo au kwakua mliamua kutokuvitumia?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uliwahi kuliongelea wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…