matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Serikali si baba! Serikali ni sisi! Si inakata kodi zetu! Baba yako anakukata kodi wewe?
Vijana wasitumike kisiasa
Wazazi wao wamepambana sana hadi kufikia hatua hiyo
Wakifika vyuoni wasijifanye wanaharakati
Mimi si mwanafunzi.
Ile ni kauli ya kihaini sana unaipa serkal muda na kusema ikishindwa mtaitia adabu ningekuwa Rais Magufuli ningetimua woteKukopa ni harusi,sasa hivi wanalilia kupewa mikopo lakini washaanza kukatwa midomo juu, Waziri yuko sahihi,serikali inajua matatizo yao, huwezi kumuamuru baba yako mzazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siri kali dhaifu inaogopa matamko ya watoto!Vijana wasitumike kisiasa
Wazazi wao wamepambana sana hadi kufikia hatua hiyo
Wakifika vyuoni wasijifanye wanaharakati
Malekela anawapoteza DARUSU tunaomjua ndani na nje hatukuruhusu awe hata time keeper secondary ni aibu UDSM kumpa Uwaziri wa mikopoWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi ya chuo hicho DARUSO ambao wametoa tamko kwa serikali kwa kuipa masaa 72 iwe imetoa mikopo kwa wanafunzi waliokosa mikopo.View attachment 1295284
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali kandamizi imezoea kusifiwa tu.Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi ya chuo hicho DARUSO ambao wametoa tamko kwa serikali kwa kuipa masaa 72 iwe imetoa mikopo kwa wanafunzi waliokosa mikopo.View attachment 1295284
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani anaweza kuipa serkali maelekezo tena kwa pesa zakeSerikali kandamizi imezoea kusifiwa tu.