Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,406
- 2,521
Alafu walipewa ofa kua wakimaliza chuo hawatalipa kabisa...maana sio mkopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu walipewa ofa kua wakimaliza chuo hawatalipa kabisa...maana sio mkopo
Mkuu zama zimebadilika.Zamani wakati tunasoma enzi hizo, tulijua kuwatuliza mawaziri kama huyo. Nakumbuka wakati ule alikuwa ni William Shija. Aliupata fresh. Siku hizi vitoto vyetu vikitikiswa kidg tu badala ya kupambana na serikali wao wanakimbia kupambana na wazazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kudai mikopo ni siasa? Du Tanzania hiiVijana wasitumike kisiasa
Wazazi wao wamepambana sana hadi kufikia hatua hiyo
Wakifika vyuoni wasijifanye wanaharakati
By the way hata hyo daruso imeshajazwa mamluki wa lumumba.so nothing new to expect.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijana wameshajibu:
Hivi Ndalichako hajui kuwa anapambana na vijana waliopitia JKT, hawa ni jeshi la akiba la nchi, wana nidhamu. lakini hawana uoga
View attachment 1295399
Mod pandisha hili tamko kule juu
pesa ni za wananchi
Usiwajaze ujinga wanafunzi wakafukuzwa chuo halafu uje hapa uanze oohh "enzi zetu tukifukuzwa chuo tunaenda kulima mahindi".Zamani wakati tunasoma enzi hizo, tulijua kuwatuliza mawaziri kama huyo. Nakumbuka wakati ule alikuwa ni William Shija. Aliupata fresh. Siku hizi vitoto vyetu vikitikiswa kidg tu badala ya kupambana na serikali wao wanakimbia kupambana na wazazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watasomaje huku wana siku mbili hawajala?Acheni kucheza na serikali ya awamu ya tano na hoja zenu mfu, someni acheni siasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Watasomaje huku wana siku mbili hawajala??
nani kwakwambia kila mtu chuoni anategemea boomWanaocomment kuponda hao, vijana either hawajafika chuo kikuu kujua umuhimu wa hilo bòom kwa wanafunzi,...hivi mwanafunzi 2months hajapewa pesa kwa maisha ya hapa jijini ataishi vipi,unategemea huyu kijana atasoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana kamsemo kao cha ujanja ujanja cha "vigezo vya mkopo".Only in Tanzania serikali ikainvest mamilioni kwenye ndege halafu isi invest kwenye elimu ya wananchi wake... pathetic!