ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
lengo boss, Serikali ijipange kuwasaidia. Wengi wetu, wao serikalini wamesomeshwa bure. Tuaangalie Bajeti inasemaje na kuwaaambia ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika naamini 75% wote walioshiriki kupanga haya maandamano (ambayo hayajafanyika bado) hili litawatokea puani.
Mimi huwa nahisi huenda ndio maana asilimia kubwa tukiwakuta kazini, huwa wananyodo sana kwakuwa wanajua msoto. Simaanishi wote wanaoringa huwa wanalipa kisasi, wengine huwa ni uoimbukeni tu wa maisha.Uongozi Ni hekima na busara maisha ya chuo Ni magumu hatuna elimu bure ya migomo cc tusifanye Mambo kwa kupaniki fedha Kama ipo wapewe na Kama haipo wambiwe wasije wakaanza kujiuza bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hata pesa ya mkopo ni yako kwakuwa kuna siku utatakiwa kuirejesha. Binafsi siungi mkono maandamano lakini nawaza, mbona serikali ikitaka kuwakata hizo pesa huwa zoezi linaanza punde tu mtu apatapo kazi?
Hahaha...hata enzi zetu, lakini ilikuwa kwa haki na si kwa namna hii ya kutumika afu mbaya zaidi kwa MTU asujaribiwa, alama za nyakati mzee.Watoto wa sasa ni nyoronyoro sana.
Enzi zetu asingeingea huu upuuzi.
Watu wangeshakuwa mitaani toka juzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hautaji miaka mingi ukijua umuhimu wake na kwa mustakabari wa Taifa. Kwanini unafanya mchakato mpya kwa ajili ya nani.Unamuonea bure fikiria kwa utulivu utajua tatizo liko wapi?? Kuhusu mitaala ya Elimu ubadilishaji wake siyo rahisi hivyo mkuu ni mchakato wa miaka kama 20+ fikiria tu kuhusu kuandaa wakufunzi na miondombinu mingine??
Na wewe ni tatizo kubwa. kama unaunga mkono udhalimu, basi wewe ni sehemu ya tatizo la vitoto vyetuZamani wakati tunasoma enzi hizo, tulijua kuwatuliza mawaziri kama huyo. Nakumbuka wakati ule alikuwa ni William Shija. Aliupata fresh. Siku hizi vitoto vyetu vikitikiswa kidg tu badala ya kupambana na serikali wao wanakimbia kupambana na wazazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani KUKOPESHANA ni Lazima?Arts ni wengi sana na vyuo vimekuwa vingi tofauti na miaka yetu ilikuwa UDSM na Mzumbe tu, saizi vyuo mpaka vichochoroni serikali inajipa mzigo,ingefanya review......japo linafanyika kisiasa sana ndiyo maana linawapa shida
vile ni vitendeankazi vya lazima kwa sasa, jamaa inaonekana hajui maana ya kulala na njaa. Ndalichako watoto wetu wanasiasa wapate hela ya kula, watoto nendeni mkazifunge hizo barabara magari yatawasaidia kufikisha ujumbe Halafu hii serikali ni wangapi sana vitisho vya kishamba wanasahau kuwa hata hao wanaowategemea wana watoto na nduguMkuu usilazimishe kisa ulitembea pekupeku wakati unasoma na watoto wako watembee ivyoivyo,kila jambo na wakati wake acha mawazo mgando na ya kishamba,yaani unacomment kabisa hapa kwa kujiamini "eti mbona sisi tulisoma bila smartphone na laptop?
Mkuu umesoma mpaka level gani na mwaka gani?
Watu wa karibu yako hasa wadogo zako nawaonea huruma sana