Dampa
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 810
- 1,264
Sijakuelewa mkuu mimi hayo maswala ya kupangana barabarani nishayaacha kitambo mkuuwahi maandamano upate kumwelewa profesa joyce ndalichako mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa mkuu mimi hayo maswala ya kupangana barabarani nishayaacha kitambo mkuuwahi maandamano upate kumwelewa profesa joyce ndalichako mzee
Huyu Mama sijawahi kumuelewa hata siku moja. Nadhani alipoweka anatimiza anachoambiwa tu! hana influence kwenye move zake kabisa.
wanafunzi wanasoma political science, kuandamana si ni moja ya masomo kwa vitendo? watoto wakitaka kwenda practical unasema watakiona halafu wakihitimu wakiwa watupu munawaita vilaza, hivi kweli mtu yuko udsm hawezi tofautisha kuandamana na kufanya vurugu? kwani ulisikia watabeba mawe?Alikuwa lecturer pale udsm,mama ukweli anaujua mateso wanayopata wanafunzi,sikutarajia hiyo kauli yake kwakweli