Profesa Ndalichako aongoza viongozi na wananchi wa Dodoma kutoa heshima za mwisho kwa marehemu John Kijazi

Ni kuogopa aibu.

Hivi leo unaweza kumwona katoka na BARAKOA hadharani; baada ya kiburi chote kile?

Hata kama ingemlazimu kuwepo kuaga, bila kuvaa Barakoa kwa hali ya sasa hawezi!
Huyu anatakiwa ashitakiwe kwa mauji makubwa
 
RIP
 
What a coincidence nauona huu uzi nikiwa nakatiza hapa Kijazi interchange ubungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…