Profesa Ndalichako aongoza viongozi na wananchi wa Dodoma kutoa heshima za mwisho kwa marehemu John Kijazi

Profesa Ndalichako aongoza viongozi na wananchi wa Dodoma kutoa heshima za mwisho kwa marehemu John Kijazi

... kala kona this time! Balozi Kijazi ofisi yake ilikuwa Ikulu; amekutana na watumishi wangapi wa Ikulu - wadogo kwa wakubwa? Hali mbaya asikwambie mtu.
Amekutana nao wangapi? Unajua chanzo cha kifo chake?
 
😂😂😂😂
1613648632890.jpeg

Jiwe kajificha, kala kona teh teh teh!

Zenji hajaenda wala Dom hayupo
Labda yuko kwenye "handaki" lake kajikunyata tuli!
🤣🤣🤣🤣
 
Baraza la chuo (maprofesa) nalo likamtaka Profesa Bisanda kuomba radhi kwa kutoa tahadhari ya Corona! Kama tumelogwa vile!
Sijui wanamhadaa nani na kwa maslahi ya nani
 
Mdudu wa korona hatazami mtu usoni,anataka tu afanye Makazi yake mwilini mwako kwa faida yake
 
APP (Alale Pema Peponi) ... Sema safari hii tuzike kwanza ndo uteuzi ufate tafadhali sio tuko msibani bosi wetu haji mazikoni yuko busy kuchagua wakurithi nafasi!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tulipewa amri tusiogope haka kaugonjwa ka kishetani.

Aliyetoa amri hiyo sasa hawezi kuwa amejificha kuogopa kaugonjwa kadogo tu.
 
tunamtaka meko kwenye misiba tuone kama atajikunga na mitutu hio corona lazima avae barakoa
 
Nyie jamaa acheni chai. hahahaha
Mdudu mmemfanya Muungu sasa.
 
Siku zote mtu aliyeua watu sana anaogopa mnooo misiba. Akiona maiti anasulubika sana kiroho.

Muda wote anaona mawenge wenge na huku akiwindwa na roho za watu.
Kweli damu ya mtu mbaya. Hivi mtu wa aina hii huwa anapata usingizi mzuri kweli? Naona kama picha za marehemu huwa zinamjia.
 
Ni kuogopa aibu.

Hivi leo unaweza kumwona katoka na BARAKOA hadharani; baada ya kiburi chote kile?

Hata kama ingemlazimu kuwepo kuaga, bila kuvaa Barakoa kwa hali ya sasa hawezi!
Ndo maana siku zote unashauriwa kabla hujatamka - TAFAKARI ' Will your decision and/or words matter in future - 2 years, 5 years etc'. Ikiwa ndio - lazima utumie busara ya hali ya juu kabla hujaongea au kufanya maamuzi hayo.

Na sio bure Mfalme Sulemani aliomba hekima juu ya vitu vyote...
 
Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM.

Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili.

Dr Kijazi (RIP) atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe, Tanga.

Tukio hili liko mubashara TBC

Maendeleo hayana vyama!

“Maendeleo hayana chama” kufa kwa Corona ni maendeleo 🤔
 
Back
Top Bottom