Profesa Ndalichako aongoza viongozi na wananchi wa Dodoma kutoa heshima za mwisho kwa marehemu John Kijazi

Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM.

Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili.

Dr Kijazi (RIP) atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe, Tanga.

Tukio hili liko mubashara TBC

Maendeleo hayana vyama!
Rais Magufuli yuko wapi?
 
Kuna habari gani bhandugu, nasikia kuna breaking newz muda huu.

Tuendelee kuchukua tahadhari wakuu. Cabinet la jiwe linaisha😪
 
Tuendelee kuchukua tahadhari wakuu. Cabinet la jiwe linaisha[emoji25]
Hii ya safari hii Haina cha KOYU ZEKA MBOCHI tunapambana nayo ng'adu kwa ng'adu kusikia kwa kenge had atoke damu
 
Kuna habari gani bhandugu, nasikia kuna breaking newz muda huu.

Tuendelee kuchukua tahadhari wakuu. Cabinet la jiwe linaisha😪
... walikuwa wanakaa vikao vyao kiboya kana kwamba wana mkataba na Mungu! Fikiria watu level/hadhi ya Cabinet hawachukui tahadhari zozote za kujikinga machinga na bodaboda huko mtaani wafanyeje? Hili taifa lina mazuzu haswa.
 
Kama namwona vile yule mzeee😪😪😪 watu wameogopa kwenda kwenye kikao na barakora ili kulinda ugali na kuvunga mdudu, sasa na mdudu asivyo na haya ameanza kazi😁
... walikuwa wanakaa vikao vyao kiboya kana kwamba wana mkataba na Mungu! Fikiria watu level/hadhi ya Cabinet hawachukui tahadhari zozote za kujikinga machinga na bodaboda huko mtaani wafanyeje? Hili taifa lina mazuzu haswa.
 
Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM.

Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili.

Dr Kijazi (RIP) atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe, Tanga.

Tukio hili liko mubashara TBC

Maendeleo hayana vyama!
Na yeye hata barakoa hajavaa anapuyanga tu.

Hatari sana
 
Kama namwona vile yule mzeee😪😪😪 watu wameogopa kwenda kwenye kikao na barakora ili kulinda ugali na kuvunga mdudu, sasa na mdudu asivyo na haya ameanza kazi😁
... ha ha ha! Mdudu ndio kwanza ame-beep! Shughuli ndio kwanza imeanza; kama ni uwanjani, refa ana-cheki na lines-men wake kuangalia kama kila kitu kiko sawa tayari kwa mtanange. Dakika 90 nyingi sana Mkuu.
 
Mpk sasa mdudu ukimpa durect win inatoa mkuu🤣🤣🤣,
 
Back
Top Bottom