Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka J2 atakuwa ametangwa na diktetaAPP (Alale Pema Peponi) ... Sema safari hii tuzike kwanza ndo uteuzi ufate tafadhali sio tuko msibani bosi wetu haji mazikoni yuko busy kuchagua wakurithi nafasi!!
Wanatafunwa kimya kimya mkuuKorona haiogopi suti wala miwani ya TISS, Hao TISS wenyewe wajiongeze wachukue tahadhari.
Hapa mjini kwetu kila mmoja anajua kuwa yule makamu wa nyuma ameshakufa zamani....... sikuaminiMisiba yote anakimbia mazee, ni tapeli na muongo
Mke wa Eng. John Kijazi Naye amelazwa Muhimbili. Hataweza kumuaga mumewe. Tatizo la kupumua linasumbua sanaViongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM.
Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili.
Dr Kijazi rip atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe Tanga.
Tukio hili liko mubashara TBC
Maendeleo hayana vyama!
Vipi mbona kwenye orodha hiyo hakuna chairman?Viongozi wa serikali na wananchi wa Dodoma wanatoa heshima za mwisho kumuaga marehemu John Kijazi chuo kikuu UDOM.
Prof Ndalichako ambaye ni waziri wa elimu ndio anaongoza watumishi na wananchi katika tukio hili.
Dr Kijazi rip atazikwa siku ya Jumamosi huko Korogwe Tanga.
Tukio hili liko mubashara TBC
Maendeleo hayana vyama!
Yule Mzenji? hakuna ni uzushi mzima ameonekana kwa MaalimHapa mjini kwetu kila mmoja anajua kuwa yule makamu wa kwanza wa nyuma ameshakufa zamani....... sikuamini
Umeambiwa mazishi ni Jumamosi uwe unaelewa bwashee!Vipi mbona kwenye orodha hiyo hakuna chairman?
basi kuna tetesi kama hizoYule Mzenji? hakuna ni uzushi mzima ameonekana kwa Maalim
Ufipa ni wazushi sana bwashee!Yule Mzenji? hakuna ni uzushi mzima ameonekana kwa Maalim
Nimeona TISS wanaomlinda JK wao wanapiga full barakoa. Nahisi mzee wa Msoga atakuwa amedemand wavae hiyo kitu kabla ya kumsogelea 🤣🤣Wanatafunwa kimya kimya mkuu
Si Zenji si Dom [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeambiwa mazishi ni Jumamosi uwe unaelewa bwashee!
No ni mzima nimemuona livebasi kuna tetesi kama hizo
Nasikia Trump chuma kilimchapa.. nao si wana Secrer Services.. Hii kitu inapenyaa tu na Joris Bonson wa U.K nae chuma kilipigaKorona haiogopi suti wala miwani ya TISS, Hao TISS wenyewe wajiongeze wachukue tahadhari.
Hali ulivyo kwa sasa siyo ya kukomaza shingoNimeona TISS wansomlinda JK wao wanapiga full barakoa. Nahisi mzee wa Msoga atakuwa amedemand wavae hiyo kitu ksbla ya kumsogelea [emoji1787][emoji1787]
Bwana yesu apishe kwa mbali! Hakuna na neno mzee wa watu.No ni mzima nimemuona live