Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Badala ya kumjibu kwa hoja, unamwita mpumbavu. Kutukana ni uthibitisho wa awali kuwa mtu hayupo sawasawa. Tuna watendaji wa Serikali ambao upeo wao unaishia kwenye pua zao. Serikali haitakiwi kutenda kama unavyofikiria. Serikali inatakiwa kuwa mwezeshaji na siyo mfukarishaji.wewe huna akili, unatangulizaje kitu huna kibali cha kuingiza? huo si upumbavu... kama una huruma na vifaranga mbona unavila wakiwa wakubwa. Nyambaf! ungeenda kuwalisha basi airport
Nchi hii haiendelei kwa sababu ya watendaji wa Serikali wenye uelewa duni. Hutatui kosa kwa kufanya uharibifu.
You need to find best solution for every mistake. Siyo kutatua tatizo kwa kusababisha hasara. Wajinga wanadhani hiyo hasara ni ya huyo muingizaji vifaranga pekee. Hawajui kuwa hiyo mil 200 imeenda Ubelgiji, wablegiji hawajapata hasara yoyote, sisi kama nchi ndio tumepata hasara. Uchumi wa Mtanzania mmoja mmoja ndiyo uchumi wa Tanzania. Kumfukarisha Mtanzania mmoja ni kuifukarisha nchi. Hiyo milioni 200 ingegusa maisha ya wengi. Kulikuwa na njia kumwadhibu huyo ambaye hakufuata utaratibu, kama alikosea bila ya kufanya maangamizi ya kiuchumi. Kwa kumpiga faini, faida yake ingepungua lakini kwa upabde wa nchi tusingekuwa tumepoteza chochote kwa sababu hata faini ambayo angelipa ingekuwa imebakia nchini.
Nchi hii atitude ya watumishi wa umma, walio wengi ni zero.