WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Asante mkuu kwa ushauri mzuriTanzania siyo kisiwa, kuna namna ya kusolve na kutafuta solutions ila si Kwa namna hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu kwa ushauri mzuriTanzania siyo kisiwa, kuna namna ya kusolve na kutafuta solutions ila si Kwa namna hii
Hakuna ukiritimba, ni ujinga na wizi na kujidai misheni tauni kwa biashara za TZ. Unawezaje kutafuta kibali baada ya vifaranga kufika nchini? Huko Ubelgiji hata ukitua na embe mkononi ingawa hawalimi maembe, litatupwa!!Mamlaka za kibongo zina ukiritimba sana!!??
so vifaranga vimekufa kwa njaa!!?
Sasahivi mnamlaumu tasisi sio Rais, kipindi cha Magufuli vifaranga 2000 kutoka Kenya,vilipochomwa kelele zote zilielekezwa kwa Magufuli sio tasisi, kweli Tanganyika kuna watu wanafiki.Acha ujinga,hivi vitasisi vya Serikali kuna baadhi ya Watendaji ni wapumbavu sana TRADE BARRIERS hasa Wizara ya Kilimo.
Yaani Wewe wacha Mungu hawaumbue, wakati wa Magufuli vifaranga 2000 tu kelele zote zilielekezwa kwa Magufuli sio tasisi au mamlaka,leo usikii Samia akitajwa.Team walamba asali wamekaa kimya , kipindi cha magu kuchomwa wale vifaranga sidhani ata kama buku wanafika waliimba kila nyimbo za kumkashifu jpm ,hili la vifaranga zaidi ya elfu sitini imewabidi walamba asali wafunike makalio yao na kuacha mbupu zinaning'ia kwa aibu.
Hiyo akili ndiyo umewapa sasa, hawakuwa nayo,Kwan wangeviweka quarantine kwenye shamba la muagizaji na kumchapa fine zingine zingine ingekuwaje?
Yalinikuta wilaya Moja inayo pakana na kongowe.Unakwenda ofisi yyt unakaa massa 2 hamna huduma, ukihoji wanakuambia usitufundishe kazi! Maccm haya!
Nakubaliana na wewe mkuu, tena Kuna harufu ya rushwa hebu somatena hapa chini, inamaana baada ya kukamatwa ndio wakaanza kufanya process first first ilikuweka mabo sawa.Kosa la maafisa wa airport nini? Mlitaka waruhusu vifaranga viingie bila vibali? Yani mijitu inatanguliza vifaranga bila hata vibali,,alafu muje muwalaumu maafisa
Shida ipo hapo kwa watoa vibali hapo ndipo tatizo lilipo,sababu muwekezaji hawezi kupata ujasiri kuingiza vifaranga bila kibali wakati Anajua kabisa kunasheria inazuiya.Ni ujinga mtupu unaofanywa na watumishi wa Serikali. Mpaka siku Serikali itakapoamua kila sehemu kuajiri the best best, ndiyo matatizo kama haya yataisha.
Kuna watemdaji wa Serikali ambao ni wajinga kupindukia. Wanadhani Serikali kazi yake ni kuumiza wananchi. Wanashindwa kuelewa kuwa Serikali inatakiwa kuwa mwezeshaji.
Hao maofisa wa Serikali walitakiwa kujiuliza wafanye nini ili muingizaji vifaranga asiingie hasara lakini pia nchi iwe salama.
Wangeweza kuruhusu vifaranga kuingia wakapelrkwa shambani kwake kwa ysimamizi maalum. Na huko wawekwe karantini, na walindwe kwa gharama ya mwingizaji. Wapimwe kwa gharama ya mwingizaji. Wakionekana hawana tatizo, aendelee na ufugaji, lakini apigwe faini.
Lakini kwa upande mwingine ilitakiwa kuangalia kama aliomba kibali cha kuingiza, aliomba lini, kwa nini watoa vibali hawakutoa vibali. Na kama walishindwa kutoa vibali kwa sababu ya uzembe au kutengeneza mazingira ya rushwa, basi hao maofisa wa wizara ya kilimo, wafukuzwe kazi na kupoteza stahiki zao zote.
Mpumbavu tu ndio atawalaumu maafisa wa airport.ndicho cha kushangaza na vingepita vikaja leta madhara ungesikia tena maofisa wa hovyo waondolewe.Tararatibu zipo wazi na siyo Tanzania tu na nje ya Tanzania huwezi ingiza bidhaa za nyama bila vibali hata kama ni nyama choma.Tumeshasikia sana mafua ya ndege sasa mlitaka mtu ajiletee tu vifaranga bila pewa kibali?
Taasisi ikivuruga inalaumiwa na ikifanya vizuri inapongezwa,kiongozi akivuruga ni mwendo wa kila mtu kumlaumu na akifanya vizuri atapongezwa tu.Sasahivi mnamlaumu tasisi sio Rais, kipindi cha Magufuli vifaranga 2000 kutoka Kenya,vilipochomwa kelele zote zilielekezwa kwa Magufuli sio tasisi, kweli Tanganyika kuna watu wanafiki.
Huna akili,VIFARANGA ARE SO DELICATE, WANGEWAHISHWA KWANZA SHAMBANI MENGINE YAKAFUATA, WAKO WATU KAMA HAWANA UBONGO VILE.
tuna bussiness community ya hovyo! Kila mtu kwenye business anataka afanikiwe kwa kufahamiana na huyu na yule na nyoko... hawataki kufuata sheria na taratibu.Mpumbavu tu ndio atawalaumu maafisa wa airport.
Sheria za kipumbavu zisizo na majibu ila kuumiza wafanyabiashara.Huna akili,
Huko shambani kuna waTanzania wenzako, Ulitaka wafe kwa magonjwa ya ndege?.
Acheni sheria zilinde uhai wa wananchi.
Well said indeed,Sheria ziko wazi jamani ,ukiangiza wanyama kutoka nje lazima uwe na import permit na inalipiwa ,kwahyo ukishaipata Kule unakovitoa watakupa export permit and the viceversa is true
Sasa unaagizaje vifanga bila kibali chochote? Nini kimekupa jeuri ya kufanya hivyo ? Hii vita ni kubwa na inahitaji watu wenye msimamo kama profesa nonga ( veterinary doctor huyu) maana hapo angeweza chukua rushwa hata ya millioni 30 au 50 lakin kasimama kwenye sheria ,huwa wanasema ni bora kufuata utaratibu ili uwe na ujasiri wa kusimama na kukemea . watu jamii ya kina profesa nonga ni muhimu sana kwenye hili taifa ni bora kufa maskini kwa kutenda haki
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app