TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

Sio kweli unavyosema. Nuclear physics bado ni muhimu hapa TANZANIA. UNGEULIZA UAMBIWE. UNAJUA KWA NINI MBUN,GO (TSE TSE FLIES) WOTE ZANZIBAR WALIISHA?, AU UNAJUA JINSI YA UZALISHAJI WA mpunga ULIVYOINGEZEKA NCHINI. ULIZA MKUU SIO NUCKEAR WEWE UNAWAZA BOMU
mkuu humu kuna vihiyo wengi sana usikute aliyeandika hivyo ni muuza mitumba karume he knows nothing about physics wapotezee tu
 
Nakumbuka alitufundisha kozi moja ya radiation biology...tulikuwa wachache Sana...hatukuzidi kumi...lakini prof tulivomfata na kumwonesha nia ya kuitaka kuisoma...alikubali Bila shida...na kwa kuwa tulikuwa wachache... alitufundisha vizuri...alikuwa simple sana tofauti na elimu aliyokuwa nayo...Mungu amlaze mahali pema
 
R.I.P. Tanzania hatujawahi hata tengeneza hata mabomu. Hatuna hata nuclear reactor moja. Too sad kumbe wataalam wa nuclear tunao. Sema hawaiaply.
Nuclear plant kuwa nayo sio issue ya utaalam tu kuna swala LA kuruhusiwa kutokana na madhara yake ikiwa itawashinda,kulipuka Kama nuclear ya Chernobyl ilivyolipukaga.

Prof Mkilaha wa Tume ya Atomic alishafariki
Huyu naye wa Nuclear Physics is no more
 
Mtaalam wa nuclear physics ya vitabuni tu. Maprofessor wa nuclear physics wapo Iran huko na North Korea. Hawa wa kwetu ni wa kutungia mitihani tu.
 
ukiondoa kuwa mwalimu wa chuo kikuu, jambo gani kubwa alilofanya marehemu katika fani hiyo ya nuclear physics ambalo limeacha alama kubwa kwa taifa la tanzania?

NB: RIP prof. msaki.
Kufanya majaribio ambayo ww huyajui sheikh
 
Tanzania na nyuklia wapi na wapi, upotevu wa pesa na muda.
Upuuzi huu bado upo tu? Hujui dunia iliko aisee pole sana, wadhani ukienda hosp ukaambiwa wapigwa x-ray unadhani ni nn kile? Ule mfano tu
 
Back
Top Bottom