Humu watu wengi hawaelewi nchi na dunia inaendeshwaje.
My dear artist,nchi inaendeshwa kwa Sera sio kwa matakwa ya wanasayansi men!
Sera za Africa huundwa na wanasiasa vilaza wanaojali Mimi napata nini.
Barani Afrika hakuna SERA thabiti za kuwatumia wanasayansi ipasavyo.
Uundaji wa BOMU la nyuklia nimpango wa Sera ya nchi na si mwanasayansi.Mwanasayansi kazi yake ni kutoa ushauri na kusimamia taasisi husika.
Uundaji wa BOMU la nyuklia ni mpango unaofanywa na team inayohusisha nyanja nyingi au sekta nyingi kwa mpigo.
Nuclear technology is not an easy thing as to construct a road from mwanza to shinyanga, viongozi,wanachi wanasayansi kwa pamoja wanatakiwa wajitoe ufahamu kama mnavyoshuhudia Iran, Korea.
Wanasyansi wengi Barani Afrija wanashindwa Ku excel kwa sababu Afrika haijawa tayari kwa mapinduzi ya sayansi na teknolojia.Mwanasayansi kama Elon Musk asingekimbilia America kama South Afrika ingekuwa na Miundombinu ya kumuwezesha Kufanya mapinduzi anayoyafanya Leo America.
Mwanasayansi wengi wanaikimbia Afrika to utilize their full potential in Europe because of bad policies in Africa.
Hivi unajua Betri ya simu unayotumia imegunduliwa na mwafrika wa Morroco but nchini Marekani.Unajua kuwa Fibre father is black man from Afrika,but he achieved it bell laboratory in America !
Mnataka achievements za kiteknolojia huku hamtaki kuwekeza miundombinu ya teknolojia,mnawekeza kwenye anasa.
pumbavu kweli! Acheni ujinga ujinga be intellectually matured!!!