Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,544
- 3,001
Africa tumezoea kusoma nadharia kuliko vitendo
Mkuu ilaumu serikali kwa nini bado wanafundisha elimu ya kukariri historia ilaa sio science kwa vitendo
Ngoja kwanza
We nchi yako imechukua hatua gani kupambana na hii kitu
Au ndo bado mnategemea kutega bakuli
In Africa people struggle for two or more than two things
Starehe
Na udaku jirani kafanyaje
Na wazungu walivyo wajanja wanaendelea kumdhoofisha muafrica kwa kumpa mkopo eti ajikwamue kiuchumi dah nimeandika kwa uchungu'' sana
Africa is part of the earth na udongo ni ule ule waliopewa kijiti Cha kulisogeza taifa wanachaza matumbo yao
Then struggle for your family to live better life ukiwa unawaona wapo hai