Tafuta Hela
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,544
- 3,001
Baada ya kumuua wameunganishwa?!Gadafi aliuwa na watu wake sababu alishindwa kuwaunganisha.
Fuatilia uone kama kuna shule au hospitali aliwahi kujenga kwenye hao marafiki zake ulinganishe na aina ya misaada yakeDuh.. kumbe
Ukitaka kujua ushenzi wa Gaddafi soma kitabu hiki.Gadafi aliuwa na watu wake sababu alishindwa kuwaunganisha.
Ukiwaunganisha hawawezi kukuuwa watakulinda na aduiBaada ya kumuua wameunganishwa?!
Wanasema hizi ni propaganda za wazunguUkitaka kujua ushenzi wa Gaddafi soma kitabu hiki.
"Gaddafi's Harem: The Story of a Young Woman and the Abuses of Power in Libya"
The terrible truth about Gaddafi's harem: How Libyan dictator kidnapped and raped dozens of women to fulfil his perverted desires
The man was Muammar Gaddafi, the dictator of Libya who had seized power 35 years before. His people were forced to call him the Guide, but the rest of the world knew him simply as Colonel Gaddafi.www.dailymail.co.uk
Dogo huku sio fb matusi yanini?Rubbish kabisa..umeandika points zakitoto kbsa, hao waliotoa nakala zao kuhusu ushenz wa mzungu kwa afrika, wamefanya tafiti nyingi na wanajua mambo mengi,kulko wewe mjinga mmoja wa chimbaunye from bongonyoo.
Ujuaji sana mpunguze, hao wazungu mnaowatetea mna undugu nao? Ama bado vifungo vya akili vinawasumbua
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
View attachment 2166391
Najua Waafrica wengi tumekuwa tukiamini sababu ya sisi kutokuendelea imesababishwa na wazungu
nimeona chapisho mtandaoni kuhusu maadhimisho ya kitabu cha How Europe underdeveloped Africa by Walter Rodney, hii ni nadharia ya bwana Rodney
Moja kati ya maelezo aliyoyatoa Prof Shivji ni kuhusu kuuawa kwa Ghadafi na kusema kuwa hao wazungu walimuua Ghadhaffi kwa sababu alikuwa na mpango wa kuwezesha Africa kuwa na sarafu moja, ndio nataka tujadili hili
Kwa watu wenye uelewa wa uchumi na fedha (economics and finance) ni kuwa huwezi kuwa na sarafu moja kama hampo economically intergrated, yaani namaanisha uchumi wenu haujachangamana sana, haujaingiliana sana, kuingiliana kwa uchumi ni pale mnapofanya biashara na kuuziana bidhaa nyingi kwa pamoja
Mfano tungeukuwa tuna import bidhaa karibu zote tunazozitumia hapa hapa Africa na kuuza bidhaa karibu zetu tunazozalisha hapa hapa Africa, uchumi wetu ungekuwa umechangamana sana, na hivi ndivyo nchi za EU zilivyokuwa zimechangamana hadi zikaamua kutumia sarafu ya EURO, na sio zote
Sasa tukija kwetu aFRICA tunauziana bidhaa gani? bidhaa tunazouziana ni bidhaa ndogondogo tu za chakula kama unga, mchele, nyama na tunazuiana majirani tu... Bidhaa za thamni kubwa kama magari, simu, mitambo ya viwandani, mafuta, vifaa vya umeme, ujenzi, nguo n.k tunaagiza kutoka China na Ulaya. Na sisi exports zetu za thamani kama madini, mazao ya misitu, vyakula ghafi n.k tunavipeleka Ulaya
Sasa hapa unaona kabisa economic intergration ni kidogo sana, mfano Tanzania tupo karibu zaidi na China kiuchumi na kibiashara kuliko tulivyo na nchi kama Nigeria,
Sasa tukiwa na sarafu moja itatusaidia nini? italeta tu migogoro sababu kila mtu ana mipango yake tofauti na mwingine, na siasa zetu pia zimekaa mbali sana kuwa na sarafu moja. Tunajaribu kuiga Ulaya ambao uchumi zao zimefanana sana na hata siasa zao zimefanana sana
Nafikiri Maprofesa wetu kama kweli tuna nia ya dhati ya kuendeleza bara letu la Africa tungekuja na hoja zenye ukweli na uhalisia kuliko hizi za kuokoteza
Gadafi aliuwa na watu wake sababu alishindwa kuwaunganisha.
Hiyo si hoja.Wanasema hizi ni propaganda za wazungu
Wewe una unachuki za kidini na Ulaya na marekani na sio siasa. kama unafuata ukweli basi Libya ya gadafi na Iran siyo mataifa rafiki kwa tanzania kwa jinsi walivyo tutendea.Rubbish kabisa..umeandika points zakitoto kbsa, hao waliotoa nakala zao kuhusu ushenz wa mzungu kwa afrika, wamefanya tafiti nyingi na wanajua mambo mengi,kulko wewe mjinga mmoja wa chimbaunye from bongonyoo.
Ujuaji sana mpunguze, hao wazungu mnaowatetea mna undugu nao? Ama bado vifungo vya akili vinawasumbua
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Inaonekana alikuwa akijali sana dini yakeWewe una unachuki za kidini na Ulaya na marekani na sio siasa. kama unafuata ukweli basi Libya ya gadafi na Iran siyo mataifa rafiki kwa tanzania kwa jinsi walivyo tutendea...
Sarafu moja ilikuwa ni immature sana kwa mazingira ya Afrika, hata miaka 50 kutoka sasa sarafu moja bado ni ngumuKwanilengo la sarafina moja lilikuwa la papi kwa hapo? Pengine ni la muda mrefu na kwamba plans towards boosting trade within Africa zingefanyika
Lakini mtu anaweza kuuliza ushahidi wa hilo upo?Hiyo si hoja.
Hiyo ni kauli ya mtu aliyeshindwa kujibu hoja.
Gaddafi alikuwa anachukua wake wa ma Jenerali wake, halafu anawaua waume zao.
Moja ya sababu jeshi lale likaja kuwa weak.
Yeye mwenyewe alikuwa anawaua wanajeshi wake.
Soma kitabu.Lakini mtu anaweza kuuliza ushahidi wa hilo upo?
Au ni kama yale ya Idd Amin kula nyama za watu
Likiwa linaongozwa na rostam azizi ktk kanda ya kusini mwa jangwa la Sahara,Professor Shivji amechuja hata vijana aliowafundisha wanamdharau siku hizi.
Nadhani hawa ndiyo wale maprofesa wanaolipwa na lile kundi la kijasusi "Economic Hitmen" wa dunia wanaoidhoofisha Africa kwa makusudi kabisa.
Huy mtu haaminiki kabisa, wanaomwamini wamekuwa "simply brain washed"
Ukweli huu watu hawautaki kabisa!POINT OF CORRECTION
[emoji3532]Ghadafi hakuwahi kuwaza umoja wa Africa
[emoji3532]Alikuwa ni mwenezi wa dini yake, aliyetumia asilimia kubwa ya rasilimali za nchi yake kushawishi baadhi ya viongozi wa nchi kukubali nchi zao ziingezwe kwenye dini yake.
[emoji3532]Misaada yake mingi ililenga kwenye masuala ya dini na hata aliwasaport viongozi wenye dini yake wanapopigana na viongozi wa imani tofauti
[emoji3532]Ndiye aliyetuma majeshi yake kuja kutupiga tulipokuwa tunspigana na nchi yenye kiongozi aliyekuwa na jina la imani yake
[emoji3532]Yeye alitaka one Africa with one religion tofauti na Nkuruma na Nyerere waliotaka one Africa regardiless of our social diversity