SWEET GIRL
JF-Expert Member
- Dec 29, 2011
- 520
- 377
Mmh jaman kuweni wazi twende mipakani kikinuka naingia malawi tuVuta subira tu, utaona ambayo hakuwahi kuyategemea.
Dah![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Najiuliza sana!
Inawezekanaje Profesa Shivji awe mwanasheria na azijue sheria kumzidi mbobezi wetu wa sheria ndugu Zembwela?!
Kwamba mnataka niamini Shivji ni nguli wa sheria kumzidi Maulid Kitenge!
Eti Profesa Shivji ana mzidi kudadavua sheria za mikataba mwana sheria mbobezi wa sheria za mikataba ndugu Msigwa?!
Acheni kuniaminisha ujinga atiii!
NB: Mod, andiko langu ni swali tafadhari msiuunganishe ili niweze kupata majibu.
haya machawa ya kijinga nayafananisha na sabaya, makonda na mnyeti. awamu tofauti ikiingia yatakosa cha kufanya, watakosa wa kuwachezea na kuwakebehi, yatanyooshwa na kujifungia ndani kwa kukosa cha kufanya. hivi kweli wanafikiri watanzania tu wajinga kiasi cha kutuletea unafiki na kebehi kama wanazoleta, kwenye issue inayohusu maslahi ya taifa? na huko uarabuni walikoenda wakirudi wafanyiwe vipimo kama vya yule afande wa zanzibarShivji haoni ndani kwa Professor Zembwela na Dr. Kitenge hawa ni wabobevu kwenye sheria za mikataba ya kimataifa.View attachment 2672113
Genge la makuwadiShivji haoni ndani kwa Professor Zembwela na Dr. Kitenge hawa ni wabobevu kwenye sheria za mikataba ya kimataifa.View attachment 2672113
Bora machafuko tukose wote.Nyie mazuzu mnao shadadia machafuko mnajua ilivyokazi kuitafuta amani iliyopotea achane udelicious.
Waulizeni majiran tu hapo rwanda burundi congo msumbiji au japan kama wana hamu na vita...Bora machafuko tukose wote.
Jiandae kwenda kuchimba MIHOGOOH.
Ungekua na akili ya kufanya mambo kwa ajili ya vizazi vijavyo basi ungeenda kupanda miti hizo hela unazopewa baada ya kupumuliwa choko wewe, iwe mwanzo na mwisho kuni-quotePoteleambali kama wewe huwez tuache ss tuandamane Kwa ajir ya vizazi vijavyo sio vya Sasa maana ss tushajichanganya Tyr
DuuhMkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD
View attachment 2671928
Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu ushirikiano wa kiuchumi lakini ukweli ni kwamba mkataba huu ni aina ya mikataba ya uwekezaji
Katika mkataba huu wa bandari kuna mambo mawili, jambo la kwanza, mkataba unahusu ushirikiano wa kiuchumi lakini sio ushirikiano wa kiujumla bali ni katika eneo la bandari za bahari na bandari za maziwa. Na jambo la pili ni kwamba mwekezaji ameshatambulika
Watu waliokuwa wanasema mkataba wa bandari ni wa miaka 100 hawakuwa wanamaanisha moja kwa moja ni miaka 100, walichomaanisha ni kuwa mkataba huu ni wa muda mrefu. Na ni kweli ni mkataba wa muda mrefu na utaisha pale ambapo mikataba yote ya miradi saba ya awamu ya kwanza itapokuwa imetekelezwa. Na kama kutakuwa na migongano au mifarakano, hadi itakapokuwa imetatuliwa.
Mkataba huu hauwezi kuvunjwa kwa sababu zozote zile hata kama tumevunja uhusiano wa kidiplomasia na U.A.E (Falme za Kiarabu)
Chanzo: Jambo Tv
Ungekua na akili ya kufanya mambo kwa ajili ya vizazi vijavyo basi ungeenda kupanda miti hizo hela unazopewa baada ya kupumuliwa choko wewe, iwe mwanzo na mwisho kuni-quote