Profesa Shivji na wafanyabiashara kwenye siasa nadhani hajavuta kumbukumbu zake vizuri

Mkuu Gaucho naona ujuaji umekujaa.
Andika unachojua kama response na wewe si unajua thats why unaandika. Komaa kiongozi provocations pia ni akili na lazima uwe tayari kuziface front. Makamba kwisha habari na maturity hamna. Hongereni sasa hivi hana njaa ya ukigogo twitter, wamemleta ndani ili akae kati vizuri.
 
Mama kutangaza nia mapema ni ujumbe kuwa Makamba aidha autafute urais akiwa na miaka 60 au atulie akubaliane na hali halisi. Simuoni kama akimsumbua Mama miaka yake madarakani. Na mpaka Mama anaonyesha nia ya kuutaka urais ni kwamba ameshawapigia mahesabu wote wanaomzunguka kundini, vinginevyo labda uibuke usaliti mkubwa 2024 kuelekea 2025.
 
Samia kapotoshwa kabisa na apende asipende hatokuwa mgombea wa ccm 2025, nchi hii ina mambo mengi hatuna muda wa mkakae mkajipange, tutaona namna ya kufanya, nitatoa maelekezo.
 
Mkuuu elimu is everything, nchi hii itaburuzwa sanaa kwa sababu majority wana elimu duni na uwezo mdogo wa akili. Hao wote anaowatolea mifano wamepigania kuingia bungeni ili kulinda maslahi yao ya kibiashara full stop.
 
ninachokiona mimi mission ni nyingi na huenda haviingiliani na vision hivyo tutegemee hasara inaweza kuwepo
 
Samia kapotoshwa kabisa na apende asipende hatokuwa mgombea wa ccm 2025, nchi hii ina mambo mengi hatuna muda wa mkakae mkajipange, tutaona namna ya kufanya, nitatoa maelekezo.
Samia kashika mpini hao wengine wameshika makali. Kama umegundua Samia keshaanza kampeni za chini kwa chini ukichanganya na uwezo wake wa kuwa msikilizaji na mtekelezaji wa anayoyasikiliza.

Samia hana mikakati ya kukomoa wapiga kura na hiyo inamsaidia kuifungua nchi akijijengea kukubaliwa na wote.
 
Mkuuu elimu is everything, nchi hii itaburuzwa sanaa kwa sababu majority wana elimu duni na uwezo mdogo wa akili. Hao wote anaowatolea mifano wamepigania kuingia bungeni ili kulinda maslahi yao ya kibiashara full stop.
Zamani ukiitwa ofisini kwa RSO unakwenda mwenyewe na unavyotoka sivyo kama ulivyoingia.

Mama hana hizo tabia za kuwanyanyasa watu kiakili. Hakuna tena kuwindana kama chui na simba nyikani.
 
Naona unaandika "utoto" sasa sijui sababu ya kutokujua concept au ndio issue ya elimu elimu elimu
 
Naona unaandika "utoto" sasa sijui sababu ya kutokujua concept au ndio issue ya elimu elimu elimu
Hizo elimu tatu ni mbwembwe za mtanzania siku zote anajiona anajua kuliko mwingine. Huo utoto ni concept iliyozaliwa kutokana na ujuaji ule ule.
 
Labda tumkumbushe Shivji juu ya hayati Andy Chande
Huyu bwana alikuwa mfanya biashara tajiri na kiongozi wa Freemasons Africa Mashariki lakini alikuwa Mwenyekiti wa bodi mbali mbali kwenye enzi ya ujamaa wa Nyerere hadi enzi ya ukweli na uwazi wa Mkapa
Aliaminiwa na kufanya kazi kwa uaminifu mkubwa
Kama hawa wa Sasa wataharibu ni ubinafsi wao tuu.
 
Kwenye Serikali isiyo imara, kuwa na compradors kwenye Serikali ni jambo la hatari sana. Prof. Shivji knows better!
 
Umeandika mambo mengi ila yote upuuzi tu
 
Asilimia 80% ya mafanikio kwenye biashara yanategemea mfanyabiashara hii nipamoja na jinsi anavyoenda kwenye biashara yake(personal qualities) cha ajabu asilimia 20 iliyobaki ina nguvu ya kuua biashara,somo ni refu kidogo, 'practically the remaining 20% has more driving forces for business failure' nimeandika kwenye kitabu changu cha ujasiamali. Hiyo asilimia 20 inatokana na yanayomzunguka mfanyabiashara ikiwemo siasa,mabadiliko ya tabia nchi,majanga,magonjwa ya milipuko mfano uviko-19,(the entrepreneur and his environment)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…