Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Tuzungumizia maoni ya mtu au asilia???
Umedaki hoja kwa mbele kama ungefwatilia tangia mwanzo labda ungeelewa nilichomaanisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzungumizia maoni ya mtu au asilia???
Wakati wa mjadala wa katiba ya Warioba yeye mwenyewe alitupiga.Wasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma
--
Mwanazuoni mkongwe nchini, Profesa Issa Shivji amesema sehemu kubwa ya wasomi nchini wameshindwa kulisaidia Taifa kwa kutoa ushauri unaofaa huku wakisubiri kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.
Profesa Shivji, gwiji la sheria kitaifa na kimataifa alitoa kauli hiyo juzi, katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV ambapo pia alizungumzia miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Nyerere.
“Mimi ni msomi, nakiri sitaki kusema nipo tofauti na wengine, zamani wasomi walikuwa wanakosoa na kushauri, tuliandika, tulikuwa na midahalo, tunazungumza, lakini sasa hivi hatusikii. Kulikuwa na wakati wasomi walikuwa wanajipanga katika foleni ya kusubiri kuteuliwa, sasa kama una matumaini ya kuteuliwa hutakosoa wala kuzungumza mambo.
“Ingawa kulikuwa na hofu pia na hilo linaeleweka pia, lakini kwa kiasi gani wasomi tumetekeleza jukumu letu. Hivi sasa wamepumua kidogo na wanaweza kuanza upya kutekeleza majukumu yao,” alisema Profesa Shivji.
Profesa Shivji alisema kunahitajika kazi ya ziada kukosoa wazo tawala na kutoa mbadala wake ili kuleta mabadiliko katika jamii ambapo alisema kazi mojawapo ya wasomi au wanazuoni ni kukosoa na kutoa wazo mbadala.
“Hatua hii itasaidia wananchi kuona kwamba kuna njia nyingine za kufanya mambo, kuelewa ukweli na kuangalia hali halisi, sio tunayoambiwa siku zote. Lazima nikiri ni jukumu letu, lakini wasomi tumefeli sana katika jukumu hili hasa katika miongo miwili iliyopita.
“Wananchi wakitulaumu tunastahili kulaumiwa kwa kweli, lakini lazima tujikumbushe haikuwa hivyo Tanzania. Wasomi au wanazuoni wa nje hadi leo wanakumbuka wasomi wa Tanzania, walichoandika, walichojadili na walichopendekeza hadi leo wanatukumbuka,” alisema.
Profesa Shivji alisema bado wasomi wa nje wanashangaa na kuhoji nini kilichotokea kwa wasomi wa Tanzania.
Hata hivyo, msomi huyo alisema wananchi wana uwezo wa kukosoa wazo tawala, akisema mara nyingine ukizungumza nao unajifunza masuala mengi kutoka kwao, ingawa wanavyozungumza sio kama wasomi.
Kwa mujibu wa Profesa Shivji, wasomi walikuwa wanafanya hivyo miaka ya 70 hadi 80 wasomi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam na pale ilipohitaji walikuwa wanaikosoa Serikali.
“Baadhi ya wasomi wetu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hatukukubaliana moja kwa moja na Mwalimu (Nyerere) kuhusu sera za kilimo. Hata wakati wa Nyerere hatukuweza kuleta mapinduzi ya kilimo, tulifuata nyayo za kikoloni,” alisema.
Kauli ya Profesa Shivji imeungwa mkono na Mwenyekiti Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa), Dk Aviti Mushi aliyesema miaka kadhaa wasomi walikuwa na hofu ya kukosoa masuala mbalimbali.
“Wale waliojitokeza kukosoa waliitwa majina mabaya mara sio wazalendo au vibaraka, hali hii ilisababisha wasomi kutotoa maoni, huku wengine wakifunga mdomo na kutafuta ugali wao. Walioonekana kimya ndio walikuwa bora na kupata nafasi za uteuzi katika maeneo mbalimbali,” alisema Dk Mushi alipozungumza na Mwananchi kwa simu jana.
Aliendelea kusema kuwa, kauli ya Profesa Shivji ina uhalisia kutokana na hali iliyopo na kwamba ilifika wakati wasomi walikuwa wana hofu kuzungumza na vyombo vya habari ili kutoa maoni yao wakihofia kuitwa majina mabaya. “Wasomi tulijikuta hatuwezi kuzungumza na vyombo vya habari, hasa kutoa maoni yanayokinzana na Serikali. Ingawa sasa hivi kuna mabadiliko yametokea,” alisema.
Chanzo: ITV
Alichosema ni sahii. Njaa imezidi kwa wasomi wetu.Wasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma

Rais aongoze na kubadilisha mitizamo mindset kwa kuteua wasomi wanaotoa mawazo mapya na wanaokosoa serikali kwa mawazo mbadala ili wasomi wajifunze na kuona umuhimu wa kukosoa bila woga. Kinyume cha kuteua wenye kusifia na kutosema au kokosoaWasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma
--
Mwanazuoni mkongwe nchini, Profesa Issa Shivji amesema sehemu kubwa ya wasomi nchini wameshindwa kulisaidia Taifa kwa kutoa ushauri unaofaa huku wakisubiri kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.
Profesa Shivji, gwiji la sheria kitaifa na kimataifa alitoa kauli hiyo juzi, katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV ambapo pia alizungumzia miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Nyerere.
“Mimi ni msomi, nakiri sitaki kusema nipo tofauti na wengine, zamani wasomi walikuwa wanakosoa na kushauri, tuliandika, tulikuwa na midahalo, tunazungumza, lakini sasa hivi hatusikii. Kulikuwa na wakati wasomi walikuwa wanajipanga katika foleni ya kusubiri kuteuliwa, sasa kama una matumaini ya kuteuliwa hutakosoa wala kuzungumza mambo.
“Ingawa kulikuwa na hofu pia na hilo linaeleweka pia, lakini kwa kiasi gani wasomi tumetekeleza jukumu letu. Hivi sasa wamepumua kidogo na wanaweza kuanza upya kutekeleza majukumu yao,” alisema Profesa Shivji.
Profesa Shivji alisema kunahitajika kazi ya ziada kukosoa wazo tawala na kutoa mbadala wake ili kuleta mabadiliko katika jamii ambapo alisema kazi mojawapo ya wasomi au wanazuoni ni kukosoa na kutoa wazo mbadala.
“Hatua hii itasaidia wananchi kuona kwamba kuna njia nyingine za kufanya mambo, kuelewa ukweli na kuangalia hali halisi, sio tunayoambiwa siku zote. Lazima nikiri ni jukumu letu, lakini wasomi tumefeli sana katika jukumu hili hasa katika miongo miwili iliyopita.
“Wananchi wakitulaumu tunastahili kulaumiwa kwa kweli, lakini lazima tujikumbushe haikuwa hivyo Tanzania. Wasomi au wanazuoni wa nje hadi leo wanakumbuka wasomi wa Tanzania, walichoandika, walichojadili na walichopendekeza hadi leo wanatukumbuka,” alisema.
Profesa Shivji alisema bado wasomi wa nje wanashangaa na kuhoji nini kilichotokea kwa wasomi wa Tanzania.
Hata hivyo, msomi huyo alisema wananchi wana uwezo wa kukosoa wazo tawala, akisema mara nyingine ukizungumza nao unajifunza masuala mengi kutoka kwao, ingawa wanavyozungumza sio kama wasomi.
Kwa mujibu wa Profesa Shivji, wasomi walikuwa wanafanya hivyo miaka ya 70 hadi 80 wasomi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam na pale ilipohitaji walikuwa wanaikosoa Serikali.
“Baadhi ya wasomi wetu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hatukukubaliana moja kwa moja na Mwalimu (Nyerere) kuhusu sera za kilimo. Hata wakati wa Nyerere hatukuweza kuleta mapinduzi ya kilimo, tulifuata nyayo za kikoloni,” alisema.
Kauli ya Profesa Shivji imeungwa mkono na Mwenyekiti Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa), Dk Aviti Mushi aliyesema miaka kadhaa wasomi walikuwa na hofu ya kukosoa masuala mbalimbali.
“Wale waliojitokeza kukosoa waliitwa majina mabaya mara sio wazalendo au vibaraka, hali hii ilisababisha wasomi kutotoa maoni, huku wengine wakifunga mdomo na kutafuta ugali wao. Walioonekana kimya ndio walikuwa bora na kupata nafasi za uteuzi katika maeneo mbalimbali,” alisema Dk Mushi alipozungumza na Mwananchi kwa simu jana.
Aliendelea kusema kuwa, kauli ya Profesa Shivji ina uhalisia kutokana na hali iliyopo na kwamba ilifika wakati wasomi walikuwa wana hofu kuzungumza na vyombo vya habari ili kutoa maoni yao wakihofia kuitwa majina mabaya. “Wasomi tulijikuta hatuwezi kuzungumza na vyombo vya habari, hasa kutoa maoni yanayokinzana na Serikali. Ingawa sasa hivi kuna mabadiliko yametokea,” alisema.
Chanzo: ITV
Hii habari haipo balanced imeungwaungwa. Ukimsikiliza vizuri na kumuelewa Prof. Shivji anachokiongelea ni wasomi kuacha jukumu lao la msingi la kitaaluma na kuigeukia siasa. Kwa maana ya siasa ndo inayolipa zaidi kuliko usomi. Hivyo wasomi wengi wameamua kuweka maslahi yao mbele kuliko maslahi ya umma. Huyu Aviti yeye kaongelea kitu kingine kabisa, kwamba wasomi walikua wanazibwa mdomo wasiongee tena kwa vitisho. Kwahiyo, kwa maoni yake wasomi walishindwa kutekeleza majukumu yao siyo kwa kupenda bali kwa kushinikizwa na wenye mamlaka. Ukimsikiliza vizuri, utagundua ndo hawa wasomi ambao shivji anawaongelea kwamba wameacha usomi wamegeukia siasa.Wasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma
--
Mwanazuoni mkongwe nchini, Profesa Issa Shivji amesema sehemu kubwa ya wasomi nchini wameshindwa kulisaidia Taifa kwa kutoa ushauri unaofaa huku wakisubiri kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali.
Profesa Shivji, gwiji la sheria kitaifa na kimataifa alitoa kauli hiyo juzi, katika mahojiano ya kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV ambapo pia alizungumzia miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Nyerere.
“Mimi ni msomi, nakiri sitaki kusema nipo tofauti na wengine, zamani wasomi walikuwa wanakosoa na kushauri, tuliandika, tulikuwa na midahalo, tunazungumza, lakini sasa hivi hatusikii. Kulikuwa na wakati wasomi walikuwa wanajipanga katika foleni ya kusubiri kuteuliwa, sasa kama una matumaini ya kuteuliwa hutakosoa wala kuzungumza mambo.
“Ingawa kulikuwa na hofu pia na hilo linaeleweka pia, lakini kwa kiasi gani wasomi tumetekeleza jukumu letu. Hivi sasa wamepumua kidogo na wanaweza kuanza upya kutekeleza majukumu yao,” alisema Profesa Shivji.
Profesa Shivji alisema kunahitajika kazi ya ziada kukosoa wazo tawala na kutoa mbadala wake ili kuleta mabadiliko katika jamii ambapo alisema kazi mojawapo ya wasomi au wanazuoni ni kukosoa na kutoa wazo mbadala.
“Hatua hii itasaidia wananchi kuona kwamba kuna njia nyingine za kufanya mambo, kuelewa ukweli na kuangalia hali halisi, sio tunayoambiwa siku zote. Lazima nikiri ni jukumu letu, lakini wasomi tumefeli sana katika jukumu hili hasa katika miongo miwili iliyopita.
“Wananchi wakitulaumu tunastahili kulaumiwa kwa kweli, lakini lazima tujikumbushe haikuwa hivyo Tanzania. Wasomi au wanazuoni wa nje hadi leo wanakumbuka wasomi wa Tanzania, walichoandika, walichojadili na walichopendekeza hadi leo wanatukumbuka,” alisema.
Profesa Shivji alisema bado wasomi wa nje wanashangaa na kuhoji nini kilichotokea kwa wasomi wa Tanzania.
Hata hivyo, msomi huyo alisema wananchi wana uwezo wa kukosoa wazo tawala, akisema mara nyingine ukizungumza nao unajifunza masuala mengi kutoka kwao, ingawa wanavyozungumza sio kama wasomi.
Kwa mujibu wa Profesa Shivji, wasomi walikuwa wanafanya hivyo miaka ya 70 hadi 80 wasomi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam na pale ilipohitaji walikuwa wanaikosoa Serikali.
“Baadhi ya wasomi wetu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hatukukubaliana moja kwa moja na Mwalimu (Nyerere) kuhusu sera za kilimo. Hata wakati wa Nyerere hatukuweza kuleta mapinduzi ya kilimo, tulifuata nyayo za kikoloni,” alisema.
Kauli ya Profesa Shivji imeungwa mkono na Mwenyekiti Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa), Dk Aviti Mushi aliyesema miaka kadhaa wasomi walikuwa na hofu ya kukosoa masuala mbalimbali.
“Wale waliojitokeza kukosoa waliitwa majina mabaya mara sio wazalendo au vibaraka, hali hii ilisababisha wasomi kutotoa maoni, huku wengine wakifunga mdomo na kutafuta ugali wao. Walioonekana kimya ndio walikuwa bora na kupata nafasi za uteuzi katika maeneo mbalimbali,” alisema Dk Mushi alipozungumza na Mwananchi kwa simu jana.
Aliendelea kusema kuwa, kauli ya Profesa Shivji ina uhalisia kutokana na hali iliyopo na kwamba ilifika wakati wasomi walikuwa wana hofu kuzungumza na vyombo vya habari ili kutoa maoni yao wakihofia kuitwa majina mabaya. “Wasomi tulijikuta hatuwezi kuzungumza na vyombo vya habari, hasa kutoa maoni yanayokinzana na Serikali. Ingawa sasa hivi kuna mabadiliko yametokea,” alisema.
Chanzo: ITV
Prof. Shivji apewe ulinziWasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma

Prof kastuka kumekucha au? Hakuwepi 2016-mwanzoni mwa 2021?... kaongea ukweli tena ukweli tupu! Bila Katiba Mpya itakayohakikisha haki ya kila mwenye sifa kupata kazi sio upendeleo au hisani ya wenye mamlaka taifa halitakaa lipige hatua. Wasomi wa ukweli wasiopenda kujipendekeza wamebaki watazamaji tu.
Kakosoa wasomi.Yeye kakosoa nini?
Hii habari haipo balanced imeungwaungwa. Ukimsikiliza vizuri na kumuelewa Prof. Shivji anachokiongelea ni wasomi kuacha jukumu lao la msingi la kitaaluma na kuigeukia siasa. Kwa maana ya siasa ndo inayolipa zaidi kuliko usomi. Hivyo wasomi wengi wameamua kuweka maslahi yao mbele kuliko maslahi ya umma. Huyu Aviti yeye kaongelea kitu kingine kabisa, kwamba wasomi walikua wanazibwa mdomo wasiongee tena kwa vitisho. Kwahiyo, kwa maoni yake wasomi walishindwa kutekeleza majukumu yao siyo kwa kupenda bali kwa kushinikizwa na wenye mamlaka. Ukimsikiliza vizuri, utagundua ndo hawa wasomi ambao shivji anawaongelea kwamba wameacha usomi wamegeukia siasa.
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app