Profesa Tibaijuka: Trump kusitisha misaada ARVs zitaadimika Afrika. African Union iitishe kikao maalum kuweka mkakati

Kweli kabisa kusimamisha misaada yote ni kuua watu masikini kwa makusudi wakati wao wakiendelea kutunyonya kwa mikataba ya ajabu waloingia na viongozi wetu
Hapa ndo napompendea m norge yeye baada ya kuona viongozi wanaleta janja janja kwenye fedha za miradi huwa anatafuta njia mbadala ya kuwafikia wanufaika na sio kukatisha miradi.
Kama ni dawa za tb na HIV alete dawa, kama ni msaada wa kitaalamu kuhusu tafiti za magonjwa hayo aangalie namna ambayo haitaumiza.
Halaf wanaoumia sio Africa pekee Bali kuna raia wake pia wameajiriwa kwenye huo mnyororo.
 
Bado hamjasema.
 
ARV haziongezi kinga, bali zinafubaza virusi.., kinga huongezwa kwa lishe bora. Profesa kateleza.
 
Ndio mrekebishe sheria za mafao na magari ya serikali na isafara tujitegemee.
Kumbe wanafiki makafiri wanajifanya wanatukana wazungu huku wao ndio wanaongoza kutumia ARV kutoka marekani wakati huo huo wanakataachanji toka marekani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…