Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Mahela wanayopiga wala haina haja ya kuwaza huo mguu nje mguu ndani.Ukiwa kwenye ma NGOs ni maisha ya mguu nje mguu ndani muda wowote hakutabiriki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahela wanayopiga wala haina haja ya kuwaza huo mguu nje mguu ndani.Ukiwa kwenye ma NGOs ni maisha ya mguu nje mguu ndani muda wowote hakutabiriki
wanatengeneza nini? ARV au?Mkuu wenzetu Msumbiji, SA na Zimbabwe wanatengeneza ila sisi tuko bize na mengine
Hapa ndo napompendea m norge yeye baada ya kuona viongozi wanaleta janja janja kwenye fedha za miradi huwa anatafuta njia mbadala ya kuwafikia wanufaika na sio kukatisha miradi.Kweli kabisa kusimamisha misaada yote ni kuua watu masikini kwa makusudi wakati wao wakiendelea kutunyonya kwa mikataba ya ajabu waloingia na viongozi wetu
Bado hamjasema.Hapa ndo napompendea m norge yeye baada ya kuona viongozi wanaleta janja janja kwenye fedha za miradi huwa anatafuta njia mbadala ya kuwafikia wanufaika na sio kukatisha miradi.
Kama ni dawa za tb na HIV alete dawa, kama ni msaada wa kitaalamu kuhusu tafiti za magonjwa hayo aangalie namna ambayo haitaumiza.
Halaf wanaoumia sio Africa pekee Bali kuna raia wake pia wameajiriwa kwenye huo mnyororo.
Utasema ww na ngoma yako.Bado hamjasema.
Nyumba zitakua nyingi mno,,tutabomoa zingine na kuacha uwazi wa kuzikia.Vipi kuhusu viwanja vya kuzikia?
ARV haziongezi kinga, bali zinafubaza virusi.., kinga huongezwa kwa lishe bora. Profesa kateleza.haya sasa wadau wa huu uzi mukuje uku sasa. mawazo yenu yanahitajika haraka sana hapa.
vp apa tunakunywa mkojo wa punda au wabinadam au tunaenda kusaka mitinyonyo?
Hivi Waafrika hatuna akili?
https://www.instagram.com/reel/DEjtcQCpAje/?igsh=MXZlZDJ5NXNmNG9uYg== Tunakuwaga na akili sana ya kujifariji, sasa kuibiwa maujuzi yetu si ndio ujinga mwingine, so tupoibiwa hayo ya mwanzo vizazi vyo vilivyofuata vikawa tabura rasa?www.jamiiforums.com
Cc. Alone kwenye faili. FRANCIS DA DON
Ndio mrekebishe sheria za mafao na magari ya serikali na isafara tujitegemee.Mbunge wa zamani wa Muleba, Prof Tibaijuka amesema kitendo cha Rais Trump wa US kusimamisha msaada ya kimataifa kitaleta Kiama Tanzania na Afrika
Pia soma > Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika
Trump amezuia misaada ya sekta za afya nk Ili Kufanya ukaguzi kama misasda hiyo inatumika kwa usahihi au fedha zinaishia mifukoni mwa eahuni wachache
Ahsanteni sana
---
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Prof. Tibaijuka amesema “Upatikanaji wa madawa ya kuongeza kinga za mwili ARVs utaathirika, ninashauri Wizara ya Afya kuufahamisha umma wa Watanzania je ni hatua gani za haraka zinachukuliwa kutathmini jambo hili na kuchukua hatua stahiki?, ikibidi African Union waitishe kikao maalum kuangalia suala hili na kuweka mkakati wa pamoja, Waathirika wa gonjwa hili la UKIMWI ni Waafrika na ugonjwa haujulikani ulitoka wapi?, tujitetee”
“Aidha juhudi za kuthibiti maambukizi ya virusi vya UKIMWI ziwekewe nguvu mpya, upatikanaji wa ARVs utakuwa mgumu na kununua ARVs kibiashara ni jambo litakalohitaji bajeti kubwa na uwezo wa taifa kwa ujumla ni mdogo na jambo limekuwa la ghafla, Waathirika wengi hawana uwezo kununua madawa hayo wenyewe maisha yao yote”
“Afya zao zikidhoofika itatumika gharama kubwa kuwauguza hivo kusababisha umaskini na vifo, pia bila ARVs maambukizi yatashika kasi mpya, tuwe macho”
😂😂😂😂Hakuna haja ya kupima then....
Maana ukikutwa unao, waweza kufa Kwa mshtukoo
kwaiyo watu waache kula arv badala yake wakale mbogamboga au sio?ARV haziongezi kinga, bali zinafubaza virusi.., kinga huongezwa kwa lishe bora. Profesa kateleza.
😂😂😂Dah ccm itoke madarakani tuu wanataka kutuua sisi ambao tuna ukimwi
😂😂😂😂Kabisa wacha ujue una ngoma siku unakaribia kufa
mkuu unafikiri akili ni mata.co ata mchwa anayo?Kwanini asiwaze tutengeneze wenyewe au hatuna akili hizo?