Profesa Tibaijuka: Trump kusitisha misaada ARVs zitaadimika Afrika. African Union iitishe kikao maalum kuweka mkakati

Jaman wa Tanzania mlioko marekani ambao bado hamjapata karatasi mnaambiwa kama umejificha basement usitoke ubaki huko huko maana msako ni mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ofisi kwa ofisi. Mliosingizia ushoga kama sababu ya kuingia marekani mjiandae maana kesi zenu zinakuwa cancelled jinsia ni mbili tu male and female.
Hadi sasa taarifa zinasema wa Tanzania zaidi ya 70 wa nakuwa deported na bado msako unaendelea. Waajiri wameambiwa waandae taarifa za wafanyakazi wao wakagua vibali wanapopita wavikute ili kuona kama wana vibali halali vya kufanya kazi.
Rudini tu tupambane nyumbani ni nyumbani wandugu
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Ninauza unga wa uji wenye virutubisho vyote, baadaye ukianza kunyweshwa uji kwa kijiko usisite kunitafuta mkuu wangu.

Juliana nimeishuhudia miaka ya mwisho mwisho, kwa watu wangu wa karibu.

Kila la kheri.
๐Ÿค๐Ÿค
Wachawi walianza hivo hivo mkuu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hapana mama wawili.

Ila kuna jukwaa kule wanasema umeanzisha mtafaruku alafu umekuja huku.

Umeacha watu wamepigwa na butwaa
Mkuu acha basi mambo ya kike mbona unaonekana dume kabisa au namna gani?hakuna kokote nilikoanzisha mtafaruku kwanza hii acc sijawahi kuanzsha nayo Uzi unaweza kunitag huko kwenye mtafaruku maana napenda sana vita
 
Mkuu acha basi mambo ya kike mbona unaonekana dume kabisa au namna gani?hakuna kokote nilikoanzisha mtafaruku kwanza hii acc sijawahi kuanzsha nayo Uzi unaweza kunitag huko kwenye mtafaruku maana napenda sana vita
Sawa mama wawili nimekuelewa
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Namna gani ndo nini mama wawili mbona kama unajaribu kunitukana wazi wazi mama wawili..
 
upatikanaji wa ARVs utakuwa mgumu na kununua ARVs kibiashara ni jambo litakalohitaji bajeti kubwa na uwezo wa taifa kwa ujumla ni mdogo na jambo limekuwa la ghafla, Waathirika wengi hawana uwezo kununua madawa hayo wenyewe maisha yao yoteโ€

Naona ghafla mama Samia amekuwa hana hela tena zile ambazo tumekuwa tunamsifia kazitoa kufanikisha jambo hili na lile...
 
Mbona nilisikia Uganda wanazalisha ARV'S??
HII NDIO SHIDA YA KUWA TEGEMEZI....AFRIKA TUAMKE....KMABABAKEEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ