cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
Jaman wa Tanzania mlioko marekani ambao bado hamjapata karatasi mnaambiwa kama umejificha basement usitoke ubaki huko huko maana msako ni mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ofisi kwa ofisi. Mliosingizia ushoga kama sababu ya kuingia marekani mjiandae maana kesi zenu zinakuwa cancelled jinsia ni mbili tu male and female.
Hadi sasa taarifa zinasema wa Tanzania zaidi ya 70 wa nakuwa deported na bado msako unaendelea. Waajiri wameambiwa waandae taarifa za wafanyakazi wao wakagua vibali wanapopita wavikute ili kuona kama wana vibali halali vya kufanya kazi.
Rudini tu tupambane nyumbani ni nyumbani wandugu