Profesa Tibaijuka: Trump kusitisha misaada ARVs zitaadimika Afrika. African Union iitishe kikao maalum kuweka mkakati

Profesa Tibaijuka: Trump kusitisha misaada ARVs zitaadimika Afrika. African Union iitishe kikao maalum kuweka mkakati

Jaman wa Tanzania mlioko marekani ambao bado hamjapata karatasi mnaambiwa kama umejificha basement usitoke ubaki huko huko maana msako ni mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba ofisi kwa ofisi. Mliosingizia ushoga kama sababu ya kuingia marekani mjiandae maana kesi zenu zinakuwa cancelled jinsia ni mbili tu male and female.
Hadi sasa taarifa zinasema wa Tanzania zaidi ya 70 wa nakuwa deported na bado msako unaendelea. Waajiri wameambiwa waandae taarifa za wafanyakazi wao wakagua vibali wanapopita wavikute ili kuona kama wana vibali halali vya kufanya kazi.
Rudini tu tupambane nyumbani ni nyumbani wandugu
 
😁😁
Ninauza unga wa uji wenye virutubisho vyote, baadaye ukianza kunyweshwa uji kwa kijiko usisite kunitafuta mkuu wangu.

Juliana nimeishuhudia miaka ya mwisho mwisho, kwa watu wangu wa karibu.

Kila la kheri.
🤝🤝
Wachawi walianza hivo hivo mkuu 😁😁😁😁
 
Hapana mama wawili.

Ila kuna jukwaa kule wanasema umeanzisha mtafaruku alafu umekuja huku.

Umeacha watu wamepigwa na butwaa
Mkuu acha basi mambo ya kike mbona unaonekana dume kabisa au namna gani?hakuna kokote nilikoanzisha mtafaruku kwanza hii acc sijawahi kuanzsha nayo Uzi unaweza kunitag huko kwenye mtafaruku maana napenda sana vita
 
Mkuu acha basi mambo ya kike mbona unaonekana dume kabisa au namna gani?hakuna kokote nilikoanzisha mtafaruku kwanza hii acc sijawahi kuanzsha nayo Uzi unaweza kunitag huko kwenye mtafaruku maana napenda sana vita
Sawa mama wawili nimekuelewa
😁😁😁😁😁
Namna gani ndo nini mama wawili mbona kama unajaribu kunitukana wazi wazi mama wawili..
 
upatikanaji wa ARVs utakuwa mgumu na kununua ARVs kibiashara ni jambo litakalohitaji bajeti kubwa na uwezo wa taifa kwa ujumla ni mdogo na jambo limekuwa la ghafla, Waathirika wengi hawana uwezo kununua madawa hayo wenyewe maisha yao yote”

Naona ghafla mama Samia amekuwa hana hela tena zile ambazo tumekuwa tunamsifia kazitoa kufanikisha jambo hili na lile...
 
Mbunge wa zamani wa Muleba, Prof Tibaijuka amesema kitendo cha Rais Trump wa US kusimamisha msaada ya kimataifa kitaleta Kiama Tanzania na Afrika

Pia soma > Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika

Trump amezuia misaada ya sekta za afya nk Ili Kufanya ukaguzi kama misasda hiyo inatumika kwa usahihi au fedha zinaishia mifukoni mwa eahuni wachache

Ahsanteni sana

---
Kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), Prof. Tibaijuka amesema “Upatikanaji wa madawa ya kuongeza kinga za mwili ARVs utaathirika, ninashauri Wizara ya Afya kuufahamisha umma wa Watanzania je ni hatua gani za haraka zinachukuliwa kutathmini jambo hili na kuchukua hatua stahiki?, ikibidi African Union waitishe kikao maalum kuangalia suala hili na kuweka mkakati wa pamoja, Waathirika wa gonjwa hili la UKIMWI ni Waafrika na ugonjwa haujulikani ulitoka wapi?, tujitetee”

“Aidha juhudi za kuthibiti maambukizi ya virusi vya UKIMWI ziwekewe nguvu mpya, upatikanaji wa ARVs utakuwa mgumu na kununua ARVs kibiashara ni jambo litakalohitaji bajeti kubwa na uwezo wa taifa kwa ujumla ni mdogo na jambo limekuwa la ghafla, Waathirika wengi hawana uwezo kununua madawa hayo wenyewe maisha yao yote”

“Afya zao zikidhoofika itatumika gharama kubwa kuwauguza hivo kusababisha umaskini na vifo, pia bila ARVs maambukizi yatashika kasi mpya, tuwe macho”
Mbona nilisikia Uganda wanazalisha ARV'S??
HII NDIO SHIDA YA KUWA TEGEMEZI....AFRIKA TUAMKE....KMABABAKEEEE
 
Back
Top Bottom