Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... anafurahi mwenyewe!Mbunge wa zamani wa Muleba, Prof Tibaijuka amesema kitendo cha Rais Trump wa US kusimamisha msaada ya kimataifa kitaleta Kiama Tanzania na Afrika
Pia soma > Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika
Trump amezuia misaada ya sekta za afya nk Ili Kufanya ukaguzi kama misasda hiyo inatumika kwa usahihi au fedha zinaishia mifukoni mwa eahuni wachache
Ahsanteni sana
Kunyweni mtoboke utumboMwarobaini upo
Weeeeeee!!!1. Viongozi wa Afrika hawataumiza kichwa kuhusu upungufu huo. Watu watajifia kama enzi za Juliana.
2. Watatafuta mfadhili mpya, Uchina. Tutaingia kwenye madeni na utumwa kudumu.
Kivumbi!
Mbona Konyagi tunakunywaKunyweni mtoboke utumbo
DaaahZile dalili za mwaka wa 90 zitarudi
kwahio mtu mwenye ukimwi utamjua tu hata kwa macho.
Safi sana bwana trump....wacha waafrica watie akili. Huyu jamaa tumpe africa atuongoze. Akili mingi sana.Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa baada ya Donald Trump kuchukua madaraka
Huyu hapa Profesa Tibaijuka
View attachment 3215531View attachment 3215532
Toa maoni yako
Kumamamake dah,😂Zile dalili za mwaka wa 90 zitarudi
kwahio mtu mwenye ukimwi utamjua tu hata kwa macho.
Mbengo lazma zifunguke sasa, hapo ndipo ARV itakapoanza kuuzwa kama bangi kwenye black market.Mh! mbona mbingo zitafongoka
Eboo.....safi sana hii.Zile dalili za mwaka wa 90 zitarudi
kwahio mtu mwenye ukimwi utamjua tu hata kwa macho.
Au sio bhana🤒Kumamamake dah,😂
I expected this shitAu sio bhana🤒
HahahaEboo.....safi sana hii.
Jamaa amekuja na njia ya kuwapunguza waafrika wasio nanfaida duniani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣