Hata Babu wa loliondo alipiga sana kibundaUmenikumbusha miaka ya 2001 kulikuwa na mganga mmoja hivi maeneo ya tegeta anaitwa babu jamaa alikuwa anasema ana dawa ya ukimwi kapiga sana hela miaka hiyo dawa zake alikuwa akiwapa watu wanakauka kama kuni aisee Cc ephen_
Juliana Kanyomozi anarudi mzigoni kwa speed ya 5G like 1990s,,, ni mwendo wa ku "Perish like a dust"Hakuna haja ya kupima then....
Maana ukikutwa unao, waweza kufa Kwa mshtukoo
Bora mie nilijikataliaga arvs mapemaaa.Zile dalili za mwaka wa 90 zitarudi
kwahio mtu mwenye ukimwi utamjua tu hata kwa macho.
Ndo lengo la Trump maana kuna baadhi ya waathirika wanambukiza wengine kwa makusudiI expected this shit
Kabisa wacha ujue una ngoma siku unakaribia kufaHakuna haja ya kupima then....
Maana ukikutwa unao, waweza kufa Kwa mshtukoo
HahahaMh! mbona mbingo zitafongoka
Hii ni kweli maana mie ni mmoja wapoNdo lengo la Trump maana kuna baadhi ya waathirika wanambukiza wengine kwa makusudi
π watu watakufa kama kuku waliovamiwa na kideriBora mie nilijikataliaga arvs mapemaaa.
Naunga mkono hoja mkuu π π πHata Babu wa loliondo alipiga sana kibunda
Big up sana TRUMPHii ni kweli maana mie ni mmoja wapo