Profesa Tibaijuka: Trump kusitisha misaada ARVs zitaadimika Afrika. African Union iitishe kikao maalum kuweka mkakati

Hapa sasa watanzania inabidi tuwe kama mbuzi, ukipima na majibu yakawa hayaridhishi, katiza na jani lolote unaloliona mbele yako.

Acheni ngono.
Tumieni kinga.
Kila jambo na faida yake.
Hapa tutongeza ajira kwa waganga wa jadi
Tutaboresha miti shamba
Tutaanza kuwatumia wasomi vizuri maana itabid na wao wakune kichwa jinsi ya kutengeneza arv.

So infwact, trump anatusaidia.
 
Professor mzima anauliza hajui ugonjwa ulitoka wapi huku akisema tujitetee
Sijui kwa lipi
Hivi anajua kuna nchi za Africa wanatengeneza hizi dawa za ukimwi?
Msumbiji walianza kutengeneza zamani wakifuatiwa na SA na Zimbabwe
Kwanini asiwaze tutengeneze wenyewe au hatuna akili hizo?
 
Kila jambo na faida yake.
Hapa tutongeza ajira kwa waganga wa jadi
Tutaboresha miti shamba
Tutaanza kuwatumia wasomi vizuri maana itabid na wao wakune kichwa jinsi ya kutengeneza arv.

So infwact, trump anatusaidia.
Ni sahihi kabisa.
Tuna dawa za miti shamba za kutosha, mapori ya kutosha bila kuwasahau Botanists wetu, wapo wa kutosha.

Inabidi sasa waanze kufanya trials mdogo mdogo kwa haya magonjwa nyemelezi kabla ya kukiangamiza kirusi.
 
Its not easy like you think mkuu.
Nina miaka 3 nasoma hiki kirusi till now nashangaa kwanini kuna watu wana potosha uma kwa kusema kuna dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…