imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Ndivyo tulivyokuwa tukijidanganya.Mafua au sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo tulivyokuwa tukijidanganya.Mafua au sio
Hyaa sasa wajiandaeNdivyo tulivyokuwa tukijidanganya.
Waje shamba tulime.Acha kuwa na akili fupi kuna taasisi kibao wameajiri watz zipo bongo. Marekani aki pull out watu wanakosa ajija kuna water read nk
We jamaaHapa sasa watanzania inabidi tuwe kama mbuzi, ukipima na majibu yakawa hayaridhishi, katiza na jani lolote unaloliona mbele yako.
Acheni ngono.
Tumieni kinga.
Acha kabisa genye nomaaaaKichwa cha chini kikishika usukani kisawasawa cha juu hubaki kuwa mtazamaji
We jamaa
Kila jambo na faida yake.Hapa sasa watanzania inabidi tuwe kama mbuzi, ukipima na majibu yakawa hayaridhishi, katiza na jani lolote unaloliona mbele yako.
Acheni ngono.
Tumieni kinga.
Acha basi mbona km unafurahia sisi kufa njaa 😪Angestopisha misada inayohusisha cash abaki na ya non cash
MDH watalia
Ni sahihi kabisa.Kila jambo na faida yake.
Hapa tutongeza ajira kwa waganga wa jadi
Tutaboresha miti shamba
Tutaanza kuwatumia wasomi vizuri maana itabid na wao wakune kichwa jinsi ya kutengeneza arv.
So infwact, trump anatusaidia.
Kwahyo tusinyanduane kisa kuogopa dawa hakuna..Alafu bado tu unakuta sasa hv hapa kuna MTU anyandua kavu na stranger!!
Kisa tu haoneshi dalili za UKIMWI 😁😁😁
Mkuu dawa ni too costly aiseeeSema Uafrika sometimes ni fedheha sana. Kama mtu anaweza kutoa milion 10 kila goli kweli hawezi kugharamia hayo madawa kwa kutumia resources za serikali?
Its not easy like you think mkuu.Ni sahihi kabisa.
Tuna dawa za miti shamba za kutosha, mapori ya kutosha bila kuwasahau Botanists wetu, wapo wa kutosha.
Inabidi sasa waanze kufanya trials mdogo mdogo kwa haya magonjwa nyemelezi kabla ya kukiangamiza kirusi.
We mama wewe.Wengine tumeajiriwa kwenye hayo mashirika yanayohisiana na HIV, njaa ndiyo itatuuwa!🙆
Mkuu inawezekana kweli ni costly ila sidhani kama gharama zake zinaweza kutingisha uchumi wa nchi.Mkuu dawa ni too costly aiseee
We mama wewe.
We mama wawili wewe
Kaazi kweli kweliWe mama wewe.
We mama wawili wewe
Poleni wandugu ndio shida ya NGOs siku mleta fedha akisema NO inakuwa basiAcha basi mbona km unafurahia sisi kufa njaa 😪