TANZIA Profesa Tolly Mbwette afariki dunia

Hii Agakhan hiii!! Yaani wengi wanaolazwa hapo wanakufa Why? Mmarangu Coach, Mze Makoi wa TRC Enzi hiyo, Mke wa Tale na Leo Prof Mbwete!! RIP Professor. Umetuachia urithi wa ViMbwete
Acha mawazo potofu,agha khan ni one of the best hospitals in tz,,,ina wataalum waliobobea na huduma bora lakin pia mfuko wapo lazma uwe umeshiba,,,unajua hao wote walikua wanaumwa nin?
Endelea kuchukua tahadhari na jikinge
 
Corona bado IPO SANA we kijana, usilaumu Wahindi wa Agakhan bure. Ilaumu Serikali yako kwa kupuuzia na kulaghai wajinga kama ninyi kwamba COVID-19 imekwisha.
Ubarikiwe sana tena sana
 
1954 said:
Sisi tunakufa sawa...sibishi...ila mibeberu inakufa zaidi...hakuna janja janja ..takwimu zinatisha...italeta hofu..uchumi utakufa na ndicho mabeberu wanachotaka yaani uchumi wetu ufe...
1954 hiv kwa uchumi gani tulio nao mpaka USA na WesternEurope countries ziwe na wivu nasi? Kitu gani tuna produce kwamba tukiwakatia supply wanakufa? rafiki 1954, jiepushe na ushabiki wa Lumumba! Tambua kuwa wanaweza kususia hata hizo tanzanite, dhahabu etc wakaishi without!
 
Tahadhari gani wakati amekataza watu wasivae barakoa? Acha ubishi wa kijinga aisee, sio kila jambo la kusifia tu kama uko Lumumba.
Unaendeldza Tena matusi bila hata aibu? Kwa mawazo yako kila mwenye mawazo tofauti ni wa Lumumba...hayo ni mawazo mufilisi na ya mtu wa kiwango Cha c Sinui nyie watu Sijui kinachoitwa Lumumba kinawafanya Nini...yaani mtu akiwa na mawazo tofauti na nyie eti ni Lumumba...dah...unafikiri wakoloni walivyotutawala walikuwa na wivu na sisi?! La hasha...walikuwa wanataka raslimali...na hivi Sasa mibeberu inataka kuendelea kutawala dunia kiuchumi...siyo suala la wivu hapa...hiyo mibeberu inataka tuwe tunaitegemea yenyewe tu for everything..
 
Sinui nyie watu Sijui kinachoitwa Lumumba kinawafanya Nin
Lumumba kuna watu wanamuita Rais YESU, wengine wanamuita Mungu, lazima tuwashangae kuwa ni watu wenye low thinking! Watu wenye akili hawawezi kupitisha sheria almost zote zilizotungwa awamu ya tano.... ndioooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
2. Uchumi wa dunia ya leo siyo wa maka ya uhuru! Mkonge likuwa dhabau wakati ule, sasa kuna synthetic fibres ambazo zinakidhi mahitaji! Pamba inayolimwa tanzania kwa mwaka haiezi kununua dreamliner moja! sasa mtu kama huyo , sawa anaweza akahitaji mali ghafi toka kwako, lkn amekuacha mbali sana kiasi kuwa utakuwa mtumwa wake! Hicho kisimu chako na changu ni vyake! "Bunduki" za kumlinda Mtukufu ni zake....
 
Tahadhari gani wakati amekataza watu wasivae barakoa? Acha ubishi wa kijinga aisee, sio kila jambo la kusifia tu kama uko Lumumba.
Hata bila Bado unaendeleza matusi na kejeli kwenye mjadala...inawezekana umri wako ni mdogo Sana...na inawezekana kabisa uelewa wako ni wa kiwango Cha chini kabisa...kwa mawazo yako unadhani Kila anayetofautiana na wewe kimtazamo ni wa Lumumba...unaweweseka na hao unaowaita wa Lumumba...kuhusu kauli yako upuuzi na ujinga ni vema uanze kwanza kuwaambia hivyo wazazi wako waliokuzaa na kukulea...Anza kumwambia baba yako mzazi mjinga halafu uje kwa mama yako uliyenyoya ziwa na kumwambia mpuuzi na mjinga...baada ya hapo ndipo uanze kuwaambia wengine wapuuzi na wajinga...nadhani umenielewa dogo
 
Ok inawezekana wako watu wa aina hiyo..nakumbuka pia upo wakati wako waliomuita Lionel Messi kuwa ni Jesus ...wengine wakamuita ni mungu na siyo Mungu...ni suala la admiration iliyopitiliza..suala la kuachwa kiuchumi na mabeberu halina ubishi...na ukweli kuwa sehemu kubwa ya maendeleo hayo ni kutokana na wizi na unyonyaji wa raslimali za dunia ya tatu halina ubishi pia
 
Acha mawazo potofu,agha khan ni one of the best hospitals in tz,,,ina wataalum waliobobea na huduma bora lakin pia mfuko wapo lazma uwe umeshiba,,,unajua hao wote walikua wanaumwa nin?
Endelea kuchukua tahadhari na jikinge
Well said
 
he was a legend in his field, very creative and brainy.
 
Vimbwete,sisi wa Mlimani enzi za Prof. G. Mmari & Prof. M. Luhanga tunajua Vimbwete.
Watoto wa Mkandala na Anangyise na kina SAUT,SJUITS,UDOM,MUCCOBS,etc ndio mnajua Vimbweta.
Mimi najua vibweta kumbe ilikuwa vimbwete
 
Knew this guy, Prof Tolly Mbwette.
Kwa waliokuwepo kwenye Annivessary ya 50 year of ERB mwaka Jana au juzi, mtakumbuka alitoa made ya kihandisi mbele y wahandisi karibia 4,000 pale Diamond Jubilee.

He was brainy and serious with his job.
RIP Prof T Mbwette
 
Poleni wafiwa, naona mdogo wake Marehemu anayeitwa Dominic Mbwete bado yupo Segerea masikini.......https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1634512/
 
Ulishaa kaa karibu na chumba cha maiti muhimbili ukaona maiti zinazolerwa pale?i
Concern yangu tuliambiwa wanatibu Kwa mil6. Imagine utoe M6 halafu hauponi. Huoni inaumiza. Bora Muh2 hawachukui nyingi hivyo hata ukifa utakuwa hajaumiza familia kifedha kama hapo. Nilizani bei mbaya halafu Mgonjwa anapona.
 

Burian Prof. Tolly umeondoka umeacha chuo chako kikifanya mambo ya ajabu na kuangusha elimu yetu
 

Yes Corona ni tishio tena pote ulimwenguni. Sasa tufanye? Kunaweza kuwa na njia mbadala ya kuikwepa? Leo nimesikia, sababu ya maambukizi mapya, Kuna mji mzima Spain uko lockdown. What do we do which other guys have done differently to change the situation?
 
Poleni wafiwa, naona mdogo wake Marehemu anayeitwa Dominic Mbwete bado yupo Segerea masikini.......https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1634512/
Kulikoni Segerea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…