Una hoja nzuriMbona kazeeka kuliko umri wake!!!? huyu inasoma 50-60 ila anaonekana Mzee zaidi anayejitahidi kukataa uzee kutokana na maisha mazuri aliyonayo yaliyotokana na ruzuku na Kodi za wavuja jasho,ngoja tumwambie tu ukweli "maisha ukiwa serikalini au NGO'S za maana tena ngazi za juu una feel uko kwenye comfort zone maana maisha ni rahisi kuliko kawaida tena unanenepeana kama puto unakuwa kama sanamu la Michelin ILA SIO KWA SISI PANGU PAKAVU,eti umwambie Mwekwa ntandu asile pilau na wakati pilau lenyewe analila kwa msimu😂😂 huu ujumbe amewapa mafisadi na waramba asali wa nchi hii ili wasife haraka waendelee kutafuna mema ya nchi ila mtanganyika mwenzangu ambaye unakula kuku wa broiler robo robo Kwa mama lishe wa mitaani tena mpaka uwe umezifumania pesa sehemu WE SIKUKUU KULA PILAU,NYAMA ZA KUTOSHA,KUNYWA SODA KRETI ZIMA,KULA KUKU WA BLOIRER MZIMA MWENYE MAFUTA na hakuna kitu utadhurika.TUSITISHWE NA HAWA MADAKTARI NJAA
Mwili utajuaje kama hiyo nyama ni ya sikukuu na pilau lake? Let's assume ni harusi ili kuuchanganya mwiliMkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi
Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya
Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo
Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
View attachment 3519485
Huyu mzee vipi,ametumwa au!Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi
Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya
Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo
Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
View attachment 3519485
Una Mwambia Profesor Kawehuka😂😂Anakaribia kuwehuka.
Ila tanzania itakuwa na sifa ya kuweka vichaa wasio na akili wawe viongozi .Utachoka siku unasikiq yeye janabi, anaumwa magonjwa mazito mazito.
Hii nchi in ukatuni ndani yakeIla tanzania itakuwa na sifa ya kuweka vichaa wasio na akili wawe viongozi .
Uweso waziri wa maji anakwambia wameandaa malengo na kupanga bajeti utatuzi wa maji kwa kuhakikisha kila mtu anapata maji.
Sasa hayo maji gani ?
Kumbe huyu ndio alikuwaga daktari wa magufuliMkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi
Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya
Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo
Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
View attachment 3519485
Kaone kwanza kalivyokaukiana! Kazee kapuuzi sana haka!Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi