Professional Okwi asaini 2yrs,amshukuru tajiri Mo Dewji

Kwani kuoa juzi ndo ina maanisha mdogo kiumri? Hivi le mutuz naye akiamua kuoa sasa atakuwa mdogo kiumri?
 
Kwa umri jamaa angetafuta timu uropu maana bado kinda sana itakuwa "alivuma akiwa mtoto"
 
Kuoa sio ndo kigezo cha kuwa na
Umri mdogo
 
Mpumbavu eeh sasa kuoa mwaka jana ndio iwe sababu ya umri mdogo...??? Smalling kaoa lini??? Khaa.. KAMUSOKO MKUBWA NA INAJULIKANA HIVYO.. OKWI HAPUNGUI MIAKA 30....
 
Hata Samwel Etoo wakati akiwa na miaka 40 alidanganya kuwa ana miaka 34 hadi Mchumba wake ndio aliyekuja kumuumbua. kwa hiyo sio kila unachokiona kwenye mitandao ndio ukweli.
 
Alipouzwa Etoile Du Sahel alikuwa na umri gani?
Imepita miaka mingapi?
Umri wachezaji wa Africa hadi wapimwe na MRI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…