Professional Okwi asaini 2yrs,amshukuru tajiri Mo Dewji

Daah miaka 26?

Konda simamisha gari namimi nishuke aisee!
 
miaka 26????? napinga.
 
Mnang'ang'ana umri wa Okw mnautaka wa nini,sisi tuliomuajiri hatuna shida na umri wake
 
Kuna mtu kanipenyezea et toka mle rambirambi ya Mafisango professional za Msimbazi zinachacha kuanzia Pape Ndaw.kuna ukweli?

Sijui umezaliwa lini. Toka afe Mafisango mmefungwa mara ngapi? Na zile 5 bado mzimu kwenu...
 
Kama OKWI KAZALIWA 25 DEC 1992 MAANA YAKE ANA MIAKA 24.. NA KWAKUWA ALINZA KUCHEZA LIGI KUU UGANDA TENA SC VILLA 2009 INA MAANA ALIANZE KUCHEZA LIGI KUU AKIWA NA MIAKA 16... ss tujiulize kanuni ipi inaruhusu mchezaji kucheza ligi kuu akiwa under 17??? inafahamika waziiii...
Njooni na vielelezo vya umri halisi..
 


Miaka ya 80 kulikuwa na mtoto anaitwa Hilal Hemed na aliichezea Coastal Union akiwa na umri huohuo wa miaka 16. Hakuna jinai hapo.

Lunyamila aliichezea Biashara Shinyanga akiwa mwanafunzi Buhangija.

Subirini kufungwa tu.
 
Miaka ya 80 kulikuwa na mtoto anaitwa Hilal Hemed na aliichezea Coastal Union akiwa na umri huohuo wa miaka 16. Hakuna jinai hapo.

Lunyamila aliichezea Biashara Shinyanga akiwa mwanafunzi Buhangija.

Subirini kufungwa tu.
Tuwekee hapa mwaka huo wa lunyamila tulinganishe hapo.. kusoma hakufanyi uwe mtoto... sheria za mpira wa miguu hujui wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…