Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Pooooovu! Kwani alisema Kamusoko ni mdogo?Wewe unajua ana miaka mingapi ?
Ivi Okwi ni mkubwa kuliko Kamusoko?
au Yondani au Zulu Mkataumeme au Kanavaro au Bissou, au Tambwe ?
Okwi kaoa mwaka juzi tu na ndoa yake ilionekana kwa wapenda soka wote
Lete umri wao na wake tuone nani mkubwa zaidi.
Yanaandika barua FIFA kumshitaki Malinzi kagoma kuchezesha mpira wa meza KarumeAlafu yakikosa ubingwa yanalia.
Acha undezi wewe...Kama una kumbukumbu mara ya kwnz okwi abakja simba alikua hajafkisha umri 18 na ndio mana mkataba aliekja ksign ni baba ake sio yy mkataba wa kwnz alisign baba ake wa miaka 2 na baada ya hapo ndo akawa anasign yye cz alkua kashafkisha miak 18 kumbka vzr
Ww ndo uache undez wa kjfny unajua kumbe Bashite tuAcha undezi wewe...
Wapenzi wa Simba sc hawajawahi kulalamika kuwa Yanga wamesajiri mchezaji mzee kama Kamusoko, na Zulu.Pooooovu! Kwani alisema Kamusoko ni mdogo?
Kamusoko kuwa mkubwa kwa Okwi hakujustify Okwi kuwa 26. Halafu tuliza akili zako wewe, kuoa sio kigezo cha umri. Mimi nilioa nikiwa na miaka 34.
Huo ubingwa wenu umewapeleka wap??
Punguza povu mtani, huu mchezo hauhitaji hasira kiasi USAJILI uite USAJIRI.Wapenzi wa Simba sc hawajawahi kulalamika kuwa Yanga wamesajiri mchezaji mzee kama Kamusoko, na Zulu.
Ajabu ninyi wapenzi wa Yanga kinawawasha nini hadi mumlalamikie Okwi kuwa ni mzee ?
Simba inajua kuwa Okwi ni mzee na imemsajiri kama nyie mlivyomsajiri Kamusoko na Zulu Mkataumeme, wakati mlijua kuwa ni wazee.
Zulu alikuwa ni mzee sana mpaka ameshindwa kuongeza mkataba wa kuendelea kuichezea Yanga fc, kwani amekata pumzi kwa kipindi cha msimu mmoja tu.
Okwi ataonekana uwanjani kama ni mzee au kijana na sio kwa maneno yenu.
Poleni wana Jangwani.
Kamati za ufundi za Simba hizo, juzi juzi hapa walimsajili Musa Hassan MgosiMpira Wa bongo ndo maana hatuendelei Okwi!?? for what hivi hata hatujiulizi huyo keshakuwa galasa maana angekuwa na kiwango asingerudi Tz wangemng'ang'ania hukohuko....