Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Pooooovu! Kwani alisema Kamusoko ni mdogo?Wewe unajua ana miaka mingapi ?
Ivi Okwi ni mkubwa kuliko Kamusoko?
au Yondani au Zulu Mkataumeme au Kanavaro au Bissou, au Tambwe ?
Okwi kaoa mwaka juzi tu na ndoa yake ilionekana kwa wapenda soka wote
Lete umri wao na wake tuone nani mkubwa zaidi.
Kamusoko kuwa mkubwa kwa Okwi hakujustify Okwi kuwa 26. Halafu tuliza akili zako wewe, kuoa sio kigezo cha umri. Mimi nilioa nikiwa na miaka 34.