Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Kwahiyo Idd Amin kamuwekea bastola?Stupid, huyu wamemwambia aseme nini, short of that watammaliza. Subiri awe na upenyo salama wa kusema ukweli, hutaamini! Unategemea nini kama Idd Amin amekuwekea pistol kama akivyoiweka kwa Janan Luwum?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyepesi sijui anafeli wapi nakumbuka miezi iliyopita aliposti eti bwana yule kafa mara jana kaja na habari za former CAG kuwa katekwa ,alafu zote ni matango pori.
Hapa kelele zote zinge kwishineiHivi hakuna mtu yeyote anayefanya kazi kwenye kampuni za simu anazotumia CAG Mstaafu Assad wa-trace ni sehemu gani mawasiliano yake yalikatika ku-ping kwenye tower? Na je simu yake ili-vyo ping tena kwenye tower baada ya kupoteza mawasiliano ilikuwa ni maeneo gani ukilinganisha na sehemu ya awali?
Halaafu itasaidia uchumi wa tanzania kukua?Kwa uzushi na umbea wake mh. Rais angemwita zitto ikulu amrushe kichura toka getini ilebarabara yote alotembea yule rafkiake alipoenda kuomba radhi akaheeema na kitambi chake.... akifika anaswe vibao kadhaa alafu atimuliwe ikulu.
Exactly, kumbuka MO alipoachiwa tu, cha kwanza alimshukuru Jiwe.....jiulize, for what??? Nadhani hii ni mbinu mpya ya kuidhoofisha mitandao, Mtu anatekwa halafu anapewa script ili kuonyesha kuwa habari zote za mitandaoni ni za uzushi na zipuuzwe hata kama zina ukweliUkishakutekwa unaambiwa nini cha kusema. Hili suala la kuwa hakuna network linaninitia shaka kubwa. Mtu responsible na family man kama Prof Assad atakaaje kuanzia asubuhi mpaka usiku asipige simu nyumbani kuulizia wanaendeleaje? It doesnt make sense at all!
Labda neno kutekwa ni axaggeration lakini tuseme alitakiwa kwa mahojiano fulani!
Yani ina maana hata JOKATE akiwa ofisini anakuwa hapatikani???? Ina maana Jafo akiwa jimboni pia anakuwa hapatikani hewani???? Kingwendu naye si atakuwa anakosa dili nyingi sana???Unadhani atasema ukweli?
Mpaka nione picha akiwa kisarawe ndo nitaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Jafo akiwa jimboni akitoka mjini kidogo tu anakuwa hapatikani??? Au Jokate??Alafu watu ni wajinga sana wanafikiri hiyo kisarawe ipo kama gongo la mboto.
Huko kazimzumbwi anakosema asadi kuwa alikuweko ni porini na kwa wilaya ya kisarawe ukitoka tu pale kisarawe mjini hupatikani tena kwenye simu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina uhakika kama passport yake anayo yeye mwenyewe.Zito kabwe hajafeli popote yupo sahihi kwa 100% huyo babu profesa Assad alitekwa kweli lakini baada ya watekaji kuona kelele nyingi mitandaoni na sehemu nyingi Duniani wakaamua kumwachia kwa mashariti kuwa akanushe juu ya utakaji wake, watanzania siyo wajinga wanajua ukweli hata body language ya profesa Assad inaonyesha kuwa ana mengi machungu Rohoni anasaka Nchi ya kwenda kuishi kisha ateme nyongo kwa uhuru
Kwamba tuamini upupu wako kuliko mhusika mwenyeweWenye Akili wanaujua Ukweli lakini vilaza watayaamini haya maneno ya Assad
Wewe ndo jinga kabisaStupid, huyu wamemwambia aseme nini, short of that watammaliza. Subiri awe na upenyo salama wa kusema ukweli, hutaamini! Unategemea nini kama Idd Amin amekuwekea pistol kama akivyoiweka kwa Janan Luwum?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta kiongozi wa Tanzania Muslim Professionals (Tampro) cheki nae atakuambia walikuwa naye au laa.Yaani Kisarawe panakosa network , hapana Prof.
Kazimzumbwi, Kisarawe hakuna network. Maendeleo hayana chama.
Kisarawe unapajua?!
Yani ina maana hata JOKATE akiwa ofisini anakuwa hapatikani???? Ina maana Jafo akiwa jimboni pia anakuwa hapatikani hewani???? Kingwendu naye si atakuwa anakosa dili nyingi sana???