Professor Assad Asimulia alipokuwa

Professor Assad Asimulia alipokuwa

Nyepesi sijui anafeli wapi nakumbuka miezi iliyopita aliposti eti bwana yule kafa mara jana kaja na habari za former CAG kuwa katekwa ,alafu zote ni matango pori.

Zito kabwe hajafeli popote yupo sahihi kwa 100% huyo babu profesa Assad alitekwa kweli lakini baada ya watekaji kuona kelele nyingi mitandaoni na sehemu nyingi Duniani wakaamua kumwachia kwa mashariti kuwa akanushe juu ya utakaji wake, watanzania siyo wajinga wanajua ukweli hata body language ya profesa Assad inaonyesha kuwa ana mengi machungu Rohoni anasaka Nchi ya kwenda kuishi kisha ateme nyongo kwa uhuru
 
Hivi hakuna mtu yeyote anayefanya kazi kwenye kampuni za simu anazotumia CAG Mstaafu Assad wa-trace ni sehemu gani mawasiliano yake yalikatika ku-ping kwenye tower? Na je simu yake ili-vyo ping tena kwenye tower baada ya kupoteza mawasiliano ilikuwa ni maeneo gani ukilinganisha na sehemu ya awali?
 
Hivi hakuna mtu yeyote anayefanya kazi kwenye kampuni za simu anazotumia CAG Mstaafu Assad wa-trace ni sehemu gani mawasiliano yake yalikatika ku-ping kwenye tower? Na je simu yake ili-vyo ping tena kwenye tower baada ya kupoteza mawasiliano ilikuwa ni maeneo gani ukilinganisha na sehemu ya awali?
Hapa kelele zote zinge kwishinei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Assad asitufanye watu wajinga yaani Kisarawe hakuna network hivi hakuna aliyenasa hata tweet moja??
 
Ukishakutekwa unaambiwa nini cha kusema. Hili suala la kuwa hakuna network linaninitia shaka kubwa. Mtu responsible na family man kama Prof Assad atakaaje kuanzia asubuhi mpaka usiku asipige simu nyumbani kuulizia wanaendeleaje? It doesnt make sense at all!

Labda neno kutekwa ni axaggeration lakini tuseme alitakiwa kwa mahojiano fulani!
Exactly, kumbuka MO alipoachiwa tu, cha kwanza alimshukuru Jiwe.....jiulize, for what??? Nadhani hii ni mbinu mpya ya kuidhoofisha mitandao, Mtu anatekwa halafu anapewa script ili kuonyesha kuwa habari zote za mitandaoni ni za uzushi na zipuuzwe hata kama zina ukweli
 
Alafu watu ni wajinga sana wanafikiri hiyo kisarawe ipo kama gongo la mboto.

Huko kazimzumbwi anakosema asadi kuwa alikuweko ni porini na kwa wilaya ya kisarawe ukitoka tu pale kisarawe mjini hupatikani tena kwenye simu.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo Jafo akiwa jimboni akitoka mjini kidogo tu anakuwa hapatikani??? Au Jokate??
 
Hivi wacongoman wote ni waongo? Maana Zitto anaelekea kuwa mwongo wa Taifa. Shame on Zitto
 
Zito kabwe hajafeli popote yupo sahihi kwa 100% huyo babu profesa Assad alitekwa kweli lakini baada ya watekaji kuona kelele nyingi mitandaoni na sehemu nyingi Duniani wakaamua kumwachia kwa mashariti kuwa akanushe juu ya utakaji wake, watanzania siyo wajinga wanajua ukweli hata body language ya profesa Assad inaonyesha kuwa ana mengi machungu Rohoni anasaka Nchi ya kwenda kuishi kisha ateme nyongo kwa uhuru
Sina uhakika kama passport yake anayo yeye mwenyewe.
 
Stupid, huyu wamemwambia aseme nini, short of that watammaliza. Subiri awe na upenyo salama wa kusema ukweli, hutaamini! Unategemea nini kama Idd Amin amekuwekea pistol kama akivyoiweka kwa Janan Luwum?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo jinga kabisa

Ukute nyie nao washauri wa chama chenu

Tukusikilize wewe na pumba zako jinga kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you Mkuu kwa hii video
Ikikupendeza kwenye video zijazo tuwe na kasehemu ka summary ya text kwaajili ya wenzetu wasiosikia na wale wasio na kifurushi cha kutosha kuplay video, vilevile English audience.
 
Yaani Kisarawe panakosa network , hapana Prof.
Tafuta kiongozi wa Tanzania Muslim Professionals (Tampro) cheki nae atakuambia walikuwa naye au laa.
Its an alibi that can be checked..
Hebu fikiria amesema alikuwa kwenye mkutano wa Chama cha Waislamu wenye Professions zao.. maana yake sio mtu mmoja walikuwa probably more than 20 watafute uwaulize usianze kupiga Ramli zako hapa. Angekuambia nilikuwa kwa Jumanne tungesema huyo J4 kapangwa lakini anasema alikuwa kutoa mada kwenye mkutano
 
Kazimzumbwi, Kisarawe hakuna network. Maendeleo hayana chama.

Dola 36 milioni zatumika kufikisha huduma vijijini maeneo yasiyo na mavuto kibiashara - (UCSAF) Mfuko wa Mawasiliano Kwa Wote
Zaidi ya Dola 36 milioni za Marekani zimetumika katika kufikisha huduma za mawasiliano ya simu maeneo ya vijijini yasiyo na mvuto wa kibiashara nchini.

Mkuu wa Idara ya Uendeshaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Albert Richard amesema hayo wakati wa maonyesho ya SIMU EXPO 2016 leo jijini Dar es Salaam.

Mfuko wa Mawasiliano kwa wote unashiriki maonyesho hayo ili kutoa elimu kwa umma juu ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na mfuko huo.

Albert amesema kuwa kazi kubwa ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ni kufikisha huduma za mawasiliano ya simu katika maeneo yote ya vijini yasiyo na mvuto wa kibiashara.

“Sisi Taasisi ya Serikali kazi yetu kubwa ni kufikisha huduma za mawasiliano katika maeneo yote ya vijini ambayo kampuni binafsi zinasuasua kupeleka huduma kutokana na msukumo wa kibiashara,” amesema Albert.
Source: "Dola 36 milioni zatumika kufikisha huduma vijijini - Mwananchi" Dola 36 milioni zatumika kufikisha huduma vijijini
 
Wameshambinya kende mzee wa watu hawezi sema.
mimi mpaka nione picha zake akiwa na hao viongozi wa dini akiwa huko kisarawe.
Ndo nitaamini.
Yani ina maana hata JOKATE akiwa ofisini anakuwa hapatikani???? Ina maana Jafo akiwa jimboni pia anakuwa hapatikani hewani???? Kingwendu naye si atakuwa anakosa dili nyingi sana???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom