Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa........!Sema Mkweli sana sio Mtata sana
Zito yupo sahihi kwa asilimia zote ni kweli huyo mzee Assad alitekwa ingawa walimuachia faster baada ya kusoma upepo unavyokwenda ni vilaza pekee watayaamini maneno ya Assad kwani ni maneno ya kuwakinda ili wasimteke tena,Katika Zama hizi ni rahisi Sana mtu kulishwa information hewa,Wala sio suala la kumcheka mtu
Yaani Kisarawe panakosa network , hapana Prof.
Zito yupo sahihi kwa asilimia zote ni kweli huyo mzee Assad alitekwa ingawa walimuachia faster baada ya kusoma upepo unavyokwenda ni vilaza pekee watayaamini maneno ya Assad kwani ni maneno ya kuwakinda ili wasimteke tena,
Hakuna cha punguani kwenye utekaji wa Assad bila upunguani upo kwenye kukiamini anachokizungumza Assad wa leo baada ya kunusurika kuingia shimoni kwa nguvu ya media
Hiyo warsha sehemu isiyo na network!
Bila shaka hao wasomi hawakutaka kuwa traced na mamlaka.
Ni mkweli kwa mengine yote lakini la utekaji kaamua kusema uongo apate kuepusha manenoAssad ni Mkweli sana sana
Kama angekuwa mpindisha maneno basi mpaka muda huu angekuwa bado ni CAG
Ni mkweli kwa mengine yote lakini la utekaji kaamua kusema uongo apate kuepusha maneno
Mkuu hilo la Assad liache kama lilivyo wenye Akili wanajua nini kiliendelea na nini kinaendelea sasa.Waulizeni Tampro wapo pale Magomeni
Jee walikuwa na Warsha Kisarawe
Jee Prof alikuwepo?
Ila " nyie " mnaruhusiwa na maandiko yenu kudanganya ili kuepusha shari!Sema Mkweli sana sio Mtata sana
Kisarawe unapajua?!Unadhani atasema ukweli?
Mpaka nione picha akiwa kisarawe ndo nitaamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaijua Kisarawe ilivyo?Yaani Kisarawe panakosa network , hapana Prof.